Muba Sports News

Muba Sports News Michezo ni afya na michezo ni ajira..

Raunds ya kwanza ya nusu fainali ya klabu bingwa Mamelod aangukia pua
21/04/2024

Raunds ya kwanza ya nusu fainali ya klabu bingwa Mamelod aangukia pua

BENCHIKHA: CV YANGU INAHARIBIKA "Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaji wagumu kuelewa...
21/04/2024

BENCHIKHA: CV YANGU INAHARIBIKA
"Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaji wagumu kuelewa k**a hii simba timu inacheza tofauti kabisa na matakwa yangu"

"Nitaongea tena na viongozi wangu k**a nitakubaliwa kuunda timu yangu upya msimu ujao ili niandae list yangu ya wachezaji nitakaoweza kuunda timu bora Africa ila k**a watashindwa kukubaliana na mimi basi watambue kuwa CV yangu sijaitengeza na pesa nashuka CV yangu kila kukicha naweza kufanya maamuzi sahihi"

My name is Castro Yanga New

Kikosi kinachoanza dhidi ya Simba
20/04/2024

Kikosi kinachoanza dhidi ya Simba

KUTOKA AVIC TOWN: Huyu ni Mshambuliaji mpya wa Yanga SC, Hafiz Konkoni 🇬🇭 ameanza kujifua na wananchi kwaajili ya msimu ...
31/07/2023

KUTOKA AVIC TOWN: Huyu ni Mshambuliaji mpya wa Yanga SC, Hafiz Konkoni 🇬🇭 ameanza kujifua na wananchi kwaajili ya msimu wa 2023/2024.

Unatarajia nini kutoka kwa mshambuliaji wa mabao?

DEAL DONE✅KAZE ➡️➡️ NAMUNGO
25/07/2023

DEAL DONE✅

KAZE ➡️➡️ NAMUNGO

HII IMEENDA.🔥🔥
25/07/2023

HII IMEENDA.

🔥🔥

🕸..WATAALAMU WA SHERIA WANASEMA...Mwanasheria wa Yanga SC Simon Patrick kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika "Kan...
25/07/2023

🕸..WATAALAMU WA SHERIA WANASEMA...

Mwanasheria wa Yanga SC Simon Patrick kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika

"Kanuni ya 62 (4) - Kanuni za Ligi Kuu, Toleo la mwaka 2022 inasema;

“Mchezaji wa kigeni anayeruhusiwa kusajiliwa kwenye Ligi Kuu ni yule anayecheza katika timu ya Taifa ya nchi yake au Ligi Kuu ya nchi husika.

Mchezaji kutoka Amerika ya kusini na Ulaya, lazima awe anacheza angalau kuanzia Ligi Daraja la Tatu (Kitaifa, kutegemea mfumo kwa nchi husika).

Mazingatio ya Daraja mchezaji analocheza kabla ya usajili wake kwenye Ligi ni kwa wakati husika au kipindi kisichozidi miezi sita tokea ameachana na timu yake ya mwisho kwa mchezaji aliye huru” Mwisho wa kunukuu..

Sasa k**a mchezaji katoka kwenye Ligi ya Mkoa au Ligi daraja la 4 huko Amerika ya kusini, usajili wake utakuaje hapa nchini? Naombeni kuelimishwa😎".

🕸..RASMI SAKHO ATUA UFARANSA..Pape Ousmane Sakho, mchezaji wa kimataifa wa Senegal mwenye umri wa miaka 26, anajiunga na...
25/07/2023

🕸..RASMI SAKHO ATUA UFARANSA..

Pape Ousmane Sakho, mchezaji wa kimataifa wa Senegal mwenye umri wa miaka 26, anajiunga na QRM hadi 2026! Akitokea Simba sports club 👋 !

Address

Morogoro
Morogoro
KILOSA

Telephone

+255615150604

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Muba Sports News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Muba Sports News:

Shortcuts

Share