Madafu Jogging & Fitness Club

Madafu Jogging & Fitness Club Michezo: Afya, Uchumi na Fursa

07/09/2026
07/09/2026

Katibu Mkuu wa Madafu Jogging & Fitness Club na Mwalimu wetu wa AROBIC akiendelea na kufundisha kwa mifano. Karibuni sana wapenda mazoezi hii ni kwa ajili wote wanaotaka mazoezi, kataa maradhi yasiyoambukiza kwa kufanya mazoezi. Tupo Kila siku ya Jumatatu hadi Jumamosi kuanzia saa 1:00 usiku mpaka saa 4:00 usiku.

13/08/2026

INNALILLAH WAINNAILAH RAJIUN, POLE SANA BI LATIFA ABDALLAH KWA KUONDOKEWA NA MAMA MZAZI YOTE NI KADARI YA ALLAH . SISI Madafu Jogging & Fitness Club TUKO NA WEWE KWENYE KILA HALI NI MSIBA NZITO KWAKO LAKINI PIA NA SISI FAMILIA YAKO NA WANACHAMA WENZIO WOTE KWA PAMOJA TUMEFIWA NA MAMA YETU KIPENZI, ALLAH AMUWEKE MAHALA ANAPOSTAHILI .

13/08/2026

Karibuni sana wadau na na nawapenda michezo, hii sio kwa ajili ya Madafu Jogging and Fitness Club pekee bali ni ya kila mtu, tafsiri sahihi ya kuwa sisi ndio Fahari ya Mkuranga basi ni hii siku zote huwa tunafanya zaidi ya jana. Upendo ndio silaha yetu , tunapatikana kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia majira ya saa 2:15 usiku mpaka saa 4:15 usiku. K**a uko karibu na hapa njoo unifunze mengi kutoka kwa maana kabisa, hapa utajifunza mwenendo wa maisha na hasa utajenga mwili kwa kufanya mazoezi na mwisho utaburudika kwa Burudani hii safi ya Aerobic chini ya Mkufunzi Juma Mwita .

Sisi ni Wewe.

ASANTENI KWA KUJA FAMILIA SISI NI NYIE HAKIKA HII ILIKUWA KUBWA SANA KWETU, LEO WENYE MKURANGA YAO WALIAMUA KULIBEBA JAM...
18/07/2026

ASANTENI KWA KUJA FAMILIA SISI NI NYIE HAKIKA HII ILIKUWA KUBWA SANA KWETU, LEO WENYE MKURANGA YAO WALIAMUA KULIBEBA JAMBO NA KUONDOKA NALO SISI NDIO FAHARI YA MKURANGA. KARIBU KWA WAKATI MWINGINE HAPA NI NYUMBANI KWA WOTE.

Jumamosi ya Kesho Allah akitufikisha sisi Fahari ya Mkuranga Madafu Jogging and Fitness Club tutapokea ndugu zetu wana m...
17/07/2026

Jumamosi ya Kesho Allah akitufikisha sisi Fahari ya Mkuranga Madafu Jogging and Fitness Club tutapokea ndugu zetu wana michezo kutoka ndani ya Wilaya ya Mkuranga zaidi ya Vilabu kumi kuja kufanya mazoezi na Sisi. Moto utawaka Madafu Itasimama hii sio ya kukosa. Kila kilabu unayoijua wewe ndani ya Mkuranga basi kesho watakuwepo.

MC WETU NAMBA MOJA NDANI YA MAJUKUMU, UKWELI USIOPINGIKA ULIFANYA  KAZI KUBWA SANA HII SIKU , ULIIMBA MPAKA NAMBA YA MWI...
01/07/2026

MC WETU NAMBA MOJA NDANI YA MAJUKUMU, UKWELI USIOPINGIKA ULIFANYA KAZI KUBWA SANA HII SIKU , ULIIMBA MPAKA NAMBA YA MWISHO, MTWARA ILISIMAMA NA WATU HAWAKUAMINI K**A UNAWEZA KUFANYA VILE MAANA ULIFANYA K**A UFANYI TENA. HAKIKA WE'RE ALWAYS PROUD OF YOU AND WE ARE REALLY APPRECIATE IT, GOOD JOB OUR MC Madafu Jogging & Fitness Club TUNAKUPEBDA SANA.

KITUO KINACHOFUATA NI NEWALA 27/09/2026.

With Mchopanga Junior – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰
29/06/2026

With Mchopanga Junior – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰

With Dar Jogging Club – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰
29/06/2026

With Dar Jogging Club – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰

Asante sana Familia yetu ya Millennium Jogging kutoka Mtwara kwa Mwaliko. Nyie kwetu ni wa thamani sana hakika tulikuja ...
29/06/2026

Asante sana Familia yetu ya Millennium Jogging kutoka Mtwara kwa Mwaliko. Nyie kwetu ni wa thamani sana hakika tulikuja salama na tumerudi salama hii imeisha mpaka kwa wakati mwingine,,kituonkinachofuata tukutane Newala mwezi wa .

ASANTENI Wana Madafu kwa Sala na Dua kuhakikisha team yenu ya ushindi inakwenda salama na kurudi salama.

Newala Big Bonanza season one 27/09/2026 tunawambiaa kuwa sisi Madafu Jogging & Fitness Club na Fahari ya Mkuranga tutakuja k**a tukiwa hai.


Address

Vikindu/Mkuranga
Mkuranga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Madafu Jogging & Fitness Club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share