25/08/2026
Iliwahi kutokea Shafii Dauda anatuhumiwa kwa kosa fulani, kwenye utetezi wake akasema chapisho linalohusishwa naye japokuwa limechapishwa kwenye ukurasa wake rasmi lakini Digala hakuwa mwandishi wa chapisho lile
Digala akasisitiza kwamba kuna vijana amewaajili kuendesha mitandao yake ya kijamii hivyo yeye hakupandisha chapisho lile lakini mwisho wa siku alihukumiwa kujihusisha na soka kutokana na chapisho ambalo hajalichapisha yeye
Hebu fikiria k**a kuna mtu anaendesha account ya namba 2, halafu kwenye system kuna watu hawamtaki namba mbili, vipi wakiamua kuwa yule anayeendesha account zake aandike script wanayoitaka wao ila ionekane kuwa aliyeandika ni namba mbili,
Unadhani namba mbili atakanusha kuwa sio yeye..?? Waza nje ya box