Gwambinafc_official

Gwambinafc_official Welcome to Gwambina Football Club official page
Est. In 2018
The Current FDL group B Leader

Kikosi kilichoanza katika mchezo wa leo💪🏿
01/10/2022

Kikosi kilichoanza katika mchezo wa leo💪🏿

*GWAMBINA FC KUSHUKA DIMBA LA KARUME MUSOMA LEO KUWAKABILI BIASHARA*Kikosi cha Gwambina fc leo kinashuka katika Dimba la...
01/10/2022

*GWAMBINA FC KUSHUKA DIMBA LA KARUME MUSOMA LEO KUWAKABILI BIASHARA*

Kikosi cha Gwambina fc leo kinashuka katika Dimba la kumbukumbu ya Karume mkoani Mara kwa ajili ya mchezo wa Ligi daraja la kwanza Tanzania Bara dhidi ya Biashara utd mchezo utakaochezwa saa 10:00 jioni.

Timu iliwasili jana usiku mkoani humo na kupokelewa vizuri na wenyeji wetu. Timu imejiandaa vizuri kwa ajili ya mchezo huo muhimu ambapo itakuwa ugenini kuwania alama tatu baada ya kuwa imevuna point moja katika michezo miwili iliyopita.

Kwa upande wa hali za wachezaji wote wako vizuri na kwamba kila mmoja ana ari na morali ya kuhakikisha kwamba licha ya kuwa mchezo huo utakuwa na ushindani lakini k**a Gwambina tuahitaji kupata matokeo mazuri kwakuwa mchezo huo upo ndani ya uwezo wetu.

Kuhusu maandalizi tayari tulifanya tangu tukiwa nyumbani Misungwi, hivyo huku tumekuja kutimiza kile ambacho tunakihitaji, mchezo utakuwa mgumu ila tumejipanga vema kuwakabili wapinzani wetu Biashara,na tunajua kabisa wanatimu nzuri tunawaheshimu pia, ila mwisho wa siku sisi ni bora zaidi yao.

Imetolewa leo oktoba 1
Na Felician LM
Afisa Habari Gwambina fc

CHAMPIONSHIP imerudi tena msimu wa 2022/2023.Timu yetu inaanza mchezo wake wa kwanza kesho dhidi ya  katika dimba la Gwa...
16/09/2022

CHAMPIONSHIP imerudi tena msimu wa 2022/2023.

Timu yetu inaanza mchezo wake wa kwanza kesho dhidi ya katika dimba la Gwambina majira ya saa 10:00 jioni.
Gwambina fc vs Mbeya Kwanza

Kapombe JR⚡️Hili goli la jana ni la viwango vya Lami🔥
21/06/2022

Kapombe JR⚡️

Hili goli la jana ni la viwango vya Lami🔥

👏👏
21/06/2022

👏👏


💪🏿
20/06/2022

💪🏿

Tumefanikiwa kuwanyamazisha 🤫😅
20/06/2022

Tumefanikiwa kuwanyamazisha 🤫😅

Furaha yetu baada ya ushindi🕺🏿
20/06/2022

Furaha yetu baada ya ushindi🕺🏿

Matokeo ya mchezo wetu wa mwisho wa mtoano yanayotufanya tusalie katika ligi ya Championship msimu ujao💪🏿
20/06/2022

Matokeo ya mchezo wetu wa mwisho wa mtoano yanayotufanya tusalie katika ligi ya Championship msimu ujao💪🏿


Tunaamini tutamaliza na kicheko😃 leo dhidi ya
04/06/2022

Tunaamini tutamaliza na kicheko😃 leo dhidi ya

 💪🏿
04/06/2022

💪🏿

Leo vijana wetu wanashuka uwanjani katika mchezo wa marudiano dhidi ya  uwanja wa Nangwanda Sijaona,Mtwara.Mchezo utaanz...
04/06/2022

Leo vijana wetu wanashuka uwanjani katika mchezo wa marudiano dhidi ya uwanja wa Nangwanda Sijaona,Mtwara.Mchezo utaanza saa 10:00 Jioni.


💪🏿

Address

P. O. Box 111
Misungwi

Telephone

+255653071515

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gwambinafc_official posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Gwambinafc_official:

Share

Category