Johnkombe3

Johnkombe3 🚨HABARI ZA KISIASA, KIUCHUMI NA MICHEZO.
📌NIFOLLOW UWE MWANAFAMILIA🫶
(1)

 : Ripoti mpya kutoka "Global Statistics Wire" imezitaja klabu 10 zenye thamani kubwa zaidi barani Afrika kwa kuzingatia...
28/05/2026

: Ripoti mpya kutoka "Global Statistics Wire" imezitaja klabu 10 zenye thamani kubwa zaidi barani Afrika kwa kuzingatia wingi wa mashabiki pamoja na nguvu ya uwepo wa kidijitali (digital footprint).

Katika orodha hiyo, Al Ahly SC ya Misri imeongoza kwa kuwa na mashabiki takribani milioni 59, ikifuatiwa na Zamalek SC yenye mashabiki milioni 17.

Klabu ya Simba SC imek**ata nafasi ya tatu Afrika ikiwa na mashabiki takribani milioni 13.3, mbele ya Raja Casablanca ya Morocco yenye mashabiki milioni 12.1.

Kwa upande wa Young Africans SC, wao wameorodheshwa nafasi ya nane barani Afrika wakiwa na mashabiki takribani milioni

Je Tumemsahau polepole?
27/05/2026

Je Tumemsahau polepole?

Nasa imetoa maelezo ya vifaa inayopania kupeleka anga za juu ikiwa ni pamoja na roboti, ndege zisizo na rubani na magari...
27/05/2026

Nasa imetoa maelezo ya vifaa inayopania kupeleka anga za juu ikiwa ni pamoja na roboti, ndege zisizo na rubani na magari ambayo k**a sehemu ya mipango ya Marekani ya kujenga kituo cha anga mwezini.

Kampuni ya anga ya juu ya Mwanzilishi wa Amazon Jeff Bezos ya Blue Origin ni mojawapo ya makampuni kadhaa yaliyochaguliwa kuunda mashine hizo.

Marekani inataka kuwarejesha Wamarekani kwenye Mwezi kabla ya Rais Donald Trump kuondoka madarakani mwaka 2029.

Lakini Nasa inashindana na China kurudisha wanadamu mwezini, kumaanisha shirika hilo la anga liko chini ya shinikizo la kushinda mbio mpya za anga.

China inaendelea mbele na mipango yake ya kuwapeleka wanadamu Mwezini ifikapo 2030.

Siku ya Jumatatu ilizindua chombo chake cha anga za juu cha Shenzhou-23, na kutuma wafanyakazi wa wanaanga kwenye kituo cha anga za juu cha Tiangong nchini humo.

Mnamo Machi, Nasa ilitangaza mpango wa dola bilioni 20 wa kujenga kituo cha kudumu itakayoendeshwa na nguvu ya nyuklia na nishati ya jua kwenye ncha ya kusini ya Mwezi ifikapo 2032.

Watanzania 🇹🇿, hizi ni saa za Majeruhi ktk kudai haki. K**a mlivyoshuhudia Samia Suluhu Hassan na Serikali yake batili w...
27/05/2026

Watanzania 🇹🇿, hizi ni saa za Majeruhi ktk kudai haki. K**a mlivyoshuhudia Samia Suluhu Hassan na Serikali yake batili wameanza kampeni kubwa ya kuwasema vibaya wa Marekani (Kumsema Tramp) ili akae pembeni wasiweze kuingilia kati ubaya wao waliyoutenda Oktober 29 kwa KUUA, kupiga risasi watu wasio na hatia🙆

K**a mlivyowasikiliza akina akina Nk. Yoote wwaliyoyaongea wanajaribu kuhakikisha hakuna msaada kutoka Marekani unaokuja kwa Watanzania 🇹🇿.
K**a Samia alivyoianzisha hii kampeni na bunge lake Uchwala, basi nasisi TUSIIKUBALI kabisa. Nasisi wananchi inatakiwa tuanze kampeni kubwa ya kupinga na na Wauaji hawa, na kumtia Moyo TRAMP na wamarekani waingilie kati hii Insu ya Oktober 29.

Ndugu zangu, tukisema tuendelee pekeyetu kupambana na Hawa Wauaji, basi wataendelea kutuuua zaidi na zaidi. Tramp na Marekani ndio chansi yetu ya Mwisho kutusaidia bila Sisi kupigwa risasi.
Tukisema Tramp akae pembeni Maana yake tunaenda kupambana na Risasi za , ndiomaana Samia hataki kabisa kuona Nchi za Nje zinakuja kutusaidia.

🗣️Tusikubari, Lazima tupate msaada..

Cc. Dw bonIran imelaani mashambulizi ya Marekani na kuyataja k**a "ishara ya nia mbaya na kutokuaminika" wakati mazungum...
27/05/2026

Cc. Dw bon

Iran imelaani mashambulizi ya Marekani na kuyataja k**a "ishara ya nia mbaya na kutokuaminika" wakati mazungumzo ya kutafuta makubaliano ya kumaliza vita yakiendelea.

Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema mashambulizi hayo ni ukiukaji wa mapatano ya kusitisha vita, na ikaonya kwamba Washington itabeba jukumu la "matokeo yote", bila ya kutoa maelezo zaidi.

Jamhuri hiyo ya Kiislamu imeonya kwamba haitaacha kitendo chochote cha uchokozi bila kujibiwa.

Jeshi la Marekani limesema mashambulizi waliyoyafanya Jumatatu kusini mwa Iran yalikuwa ya kujilinda, likieleza kuwa yalilenga maeneo ya kurushia makombora na boti za Iran katika eneo hilo.

Kiongozi mkuu wa Iran,Mojtaba Khamenei amesema mataifa ya Mashariki ya Kati hayatatumika tena k**a ngao za kulinda vituo...
26/05/2026

Kiongozi mkuu wa Iran,Mojtaba Khamenei amesema mataifa ya Mashariki ya Kati hayatatumika tena k**a ngao za kulinda vituo vya kijeshi vya Marekani, akidai kuwa ushawishi wa Washington katika eneo hilo unaendelea kudhoofika.

Katika ujumbe wake wa Sikukuu ya Eid al-Adha uliorushwa na televisheni ya taifa ya Iran, Khamenei alisema Marekani inapoteza nguvu zake za kisiasa na kijeshi katika eneo hilo huku mvutano ukiendelea kati ya Tehran na Washington.

USMilitary MiddleEastTensions GlobalPolitics

Rais wa Urusi Vladimir Putin ametia saini amri mpya inayowaondolea wanajeshi wapya madeni ya hadi dola za Marekani 139,0...
26/05/2026

Rais wa Urusi Vladimir Putin ametia saini amri mpya inayowaondolea wanajeshi wapya madeni ya hadi dola za Marekani 139,000, katika hatua inayotafsiriwa k**a sehemu ya juhudi za Urusi kuongeza idadi ya wapiganaji wanaojiunga na jeshi.

Hatua hiyo inaonekana kuwa moja ya motisha za kifedha zinazotolewa na Moscow huku vita vikiendelea, ambapo mamlaka zimekuwa zikitoa marupurupu mbalimbali ili kuvutia wananchi kujiunga na operesheni za kijeshi.

K**andi kuu ya Marekani imesema vikosi vya nchi hiyo vimetekeleza mashambulio dhidi ya kile limetaja k**a vituo vya mako...
26/05/2026

K**andi kuu ya Marekani imesema vikosi vya nchi hiyo vimetekeleza mashambulio dhidi ya kile limetaja k**a vituo vya makombora na boti zinazodaiwa kutega vilipuzi majini kusini mwa Iran.

Hatua hiyo huenda ikatatiza juhudi zinazoendelea za upatikanaji wa mkataba wa amani wakati huu wapatanishi wa Iran wakiwasili Doha kwa mazungumzo yenye lengo la kumaliza vita.

  Mama Mzazi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri va Muungano wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, Suzana M...
26/05/2026

Mama Mzazi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri va Muungano wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, Suzana Magufuli amefariki dunia jana Mei 25, 2026, Chato Mkoani Geita baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli ambaye ni mbunge wa viti maalum, amethibitisha kutokea kwa msiba huo akieleza kuwa Bibi Suzana amefariki saa 1 usiku Nyumbani kwake Chato.

Apo vipi
25/05/2026

Apo vipi

Mamlaka zinasema fedha hizo zinatarajiwa kutolewa kwa familia zilizopoteza wapendwa wao wakati wa maandamano hayo kabla ...
25/05/2026

Mamlaka zinasema fedha hizo zinatarajiwa kutolewa kwa familia zilizopoteza wapendwa wao wakati wa maandamano hayo kabla ya mwezi Julai mwaka huu.

Kwa mujibu washirika la kutetea haki za binadamu (KNCHR), ambalo limekuwa likifuatilia juhudi za kuhakikisha waathiriwa wanapata haki kutoka kwa serikali ya Kenya, limependekeza fidia ya shilingi milioni 3 za Kenya kwa familia za waliouawa, na shilingi milioni 2 kwa familia za watu waliotoweka wakati wa maandamano hayo

Address

Mikumi

Telephone

+255711284125

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Johnkombe3 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Johnkombe3:

Share