19/07/2026
DELIVERY IMEWASILI KAHAMA โ
Hii hapa timu ya SMARTWAYS ikileta POOL CHEMICALS
na kuanza huduma ya MATUNZO YA KILA MWEZI.
**UNACHOKIPATA KWA TSH 80,000/= KWA MWEZI:**
โ
Kusafisha bwawa na kuondoa majani/vumbi
โ
Kupima na kuweka kemikali sahihi `pH + Klorini + Algaecide`
โ
Ku-check pump na filter ziwe zinafanya kazi
โ
Kuhakikisha maji yanabaki safi k**a kioo kila wiki
โ
Ripoti fupi baada ya kila visit
WEWE FURAHIA KUOGELEA. SISI TUNATUNZA.
Usiruhusu bwawa lako ligeuke kijani ๐
Weka mikononi mwa wataalamu leo.
**SMARTWAYS SW**
Commitment to your Expectations
๐ +255 746 118 060
๐ +255 745 680 133
WhatsApp ipo ๐
Tunafika: Kahama | Shinyanga | Mwanza | Mikoa Yote