Football kitaa

Football kitaa Entertainment for everybody

Liverpool imeanza kuongeza juhudi kumsajili beki wa kulia chipukizi wa Italia, Marco Palestra kutoka Atalanta.Kwa mujibu...
10/06/2026

Liverpool imeanza kuongeza juhudi kumsajili beki wa kulia chipukizi wa Italia, Marco Palestra kutoka Atalanta.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka England, Liverpool wameongeza kasi ya kumfuatilia mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21, ambaye kwa sasa yuko kwa mkopo katika Cagliari akitokea Atalanta.
Palestra anatajwa k**a mmoja wa vipaji vinavyopanda kwa kasi Serie A kutokana na uwezo wake wa kuzuia na kusaidia mashambulizi upande wa kulia, jambo linalomfanya aonekane k**a chaguo la muda mrefu kwa klabu kubwa Ulaya.
Kwa sasa hana nafasi ya kudumu kikosi cha kwanza Atalanta, hali inayoweza kufungua mlango wa uhamisho kwenda Liverpool endapo makubaliano yatakamilika.
Source: BE SSOCCER
Follow Football kitaa, @ Eddywizzyboetz.

BREAKING NEWS: BAYERN WAFUNGUKA KUHUSU OLISEBosi wa Bayern Munich, Herbert Hainer, amefunga mjadala wa tetesi za Michael...
10/06/2026

BREAKING NEWS: BAYERN WAFUNGUKA KUHUSU OLISE
Bosi wa Bayern Munich, Herbert Hainer, amefunga mjadala wa tetesi za Michael Olise kuhitajika na Real Madrid.
Amesema wazi:
“Olise hatouzwa”
“Bayern si klabu ya kuuza wachezaji wake wakubwa”
Hii inakuja baada ya uvumi kuwa Real Madrid walikuwa tayari kutoa ofa ya takribani €150m kwa staa huyo wa Ufaransa.
Olise akiwa bado na mkataba wa muda mrefu, Bayern wanaonyesha hawana mpango wa kumuachia kirahisi.
Je, Madrid waache au waendelee kusubiri dirisha lijalo?

🚨 TETESI ZA USAJILIKwa mujibu wa The Guardian, Manchester United wanaonekana kuwa mbele ya Manchester City katika mbio z...
10/06/2026

🚨 TETESI ZA USAJILI
Kwa mujibu wa The Guardian, Manchester United wanaonekana kuwa mbele ya Manchester City katika mbio za kumsajili kiungo wa Nottingham Forest, Elliot Anderson. 🔴👹
Anderson mwenye umri wa miaka 23 amekuwa mmoja wa viungo wanaowindwa zaidi kwa sasa, huku thamani yake ikitajwa kufikia pauni milioni 100. 💰
👀 Je, Manchester United watafanikiwa kumng'oa Anderson mikononi mwa wapinzani wao wa jiji?
🤔 Unaonaje, Elliot Anderson ana thamani ya £100M?
👍 = Ndiyo
😡 = Hapana
👇 Toa maoni yako hapo chini.
📰 Chanzo: The Guardian
━━━━━━━━━━━━━
⚽ Football Kitaa — Habari za moto, usajili na matukio yote ya soka duniani. 🔥🌍
━━━━━━━━━━━━━

Writing🚨 BREAKING NEWS 🔴Nyota wa Feyenoord Rotterdam na mshambuliaji wa England, Raheem Sterling ameripotiwa kuk**atwa n...
30/05/2026

Writing
🚨 BREAKING NEWS 🔴
Nyota wa Feyenoord Rotterdam na mshambuliaji wa England, Raheem Sterling ameripotiwa kuk**atwa nchini Uholanzi 🇳🇱 kwa tuhuma za kusafirisha madawa ya kulevya.
Kwa mujibu wa taarifa za Polisi, Sterling mwenye umri wa miaka 31 alisimamishwa majira ya saa 9 asubuhi akiwa anaendesha Lamborghini baada ya taarifa za kiintelijensia kueleza kuwa gari hilo lilikuwa limebeba baadhi ya dawa haramu.
Polisi wamedai kukuta Va**um, steroids, laughing gas pamoja na GHB ndani ya gari hilo. Aidha Sterling pia anatuhumiwa kukiuka sheria za barabarani wakati wa tukio hilo.
Taarifa zinaeleza kuwa kwa sasa Sterling yupo nje kwa dhamana huku uchunguzi ukiendelea zaidi, na haruhusiwi kusafiri nje ya Uholanzi hadi uchunguzi utakapokamilika.
Kwa updates zote za michezo ndani na nje ya nchi follow: Eddywizzyboetz Page: kitaa 🔥
Source: The Sun Football

Leo usiku dunia ya mpira itasimama kushuhudia fainali kubwa ya UEFA Champions League kati ya Paris Saint-Germain dhidi y...
30/05/2026

Leo usiku dunia ya mpira itasimama kushuhudia fainali kubwa ya UEFA Champions League kati ya Paris Saint-Germain dhidi ya Arsenal. Mchezo huu sio wa kawaida — ni vita ya mbinu, presha na historia. 🔥
PSG chini ya Luis Enrique mara nyingi hutumia mfumo wa 4-3-3 wenye kasi kubwa ya mashambulizi ya pembeni. Wanapenda kumiliki mpira, kushambulia kwa haraka na kutumia movement za viungo wao kuvunja ulinzi wa wapinzani. Mabeki wao wa pembeni hupanda sana kusaidia mashambulizi huku viungo wakihakikisha timu inabaki compact katikati ya uwanja.
Kwa upande wa Arsenal, Mikel Arteta hutumia zaidi mfumo wa 4-3-3 ambao hubadilika kuwa 4-2-3-1 wakati wa kushambulia. Arsenal wanajulikana kwa pressing kubwa, pasi nyingi za haraka pamoja na kujenga mashambulizi taratibu kutoka nyuma. Safu yao ya ulinzi imekuwa imara sana msimu huu huku kiungo chao kikitoa balance kubwa kati ya kushambulia na kukaba.
Mambo yanayoweza kuamua mchezo: • Vita ya midfield
• Kasi ya PSG kwenye counter attack
• Pressing ya Arsenal
• Experience ya PSG kwenye mechi kubwa
• Makosa madogo ya safu ya ulinzi
Swali kubwa ni hili… 🤔🔥
Je, PSG watatetea taji lao kwa mara ya pili mfululizo au Arsenal wataandika historia kwa kuchukua UEFA Champions League yao ya kwanza? dondosha utabir wako apoo apo chini
Updates za Kimichezo ndani na nje ya nchi follow @ Eddywizzyboetz /facebook.com
page kitaa

matokeo ya mech za janaa ndo k**a ivMATOKEO  YA MECHI ZA JANA MATOKEO  YA MECHI ZA JANA 🌍CAF CHAMPIONS LEAGUEPower Dynam...
25/01/2026

matokeo ya mech za janaa ndo k**a ivMATOKEO YA MECHI ZA JANA

MATOKEO YA MECHI ZA JANA

🌍CAF CHAMPIONS LEAGUE
Power Dynamos 0-0 Rivers United
Esperance Tunis 1-0 Simba
Kabylie 0-0 FAR Rabat
Berkane 0-0 Pyramids

🌍CAF CONFEDERATION CUP
USM Alger 2-0 Djoliba

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿ENGLAND - PREMIER LEAGUE
West Ham 3-1 Sunderland
Burnley 2-2 Tottenham
Fulham 2-1 Brighton
Manchester City 2-0 Wolves
Bournemouth 3-2 Liverpool

🇪🇸SPAIN - LA LIGA

Rayo Vallecano 1-3 Osasuna
Valencia 3-2 Espanyol
Sevilla 2-1 Athletic Bilbao
Villarreal 0-2 Real Madrid

🇩🇪GERMANY - BUNDESLIGA
Bayern Munchen 1-2 Augsburg
Bayer Leverkusen 1-0 Werder Bremen
Eintracht Frankfurt 1-3 Hoffenheim
Mainz 3-1 Wolfsburg
Heidenheim 0-3 RB Leipzig
Union Berlin 0-3 Borussia Dortmund

🇮🇹ITALY - SERIE A
Como 6-0 Torino
Fiorentina 1-2 Cagliari
Lecce 0-0 Lazio

🇫🇷FRANCE - LIGUE 1
Stade Rennais 0-2 Lorient
Le Havre 0-0 Monaco
Olympique de Marseille 3-1 Lens

🇳🇱NETHERLANDS - EREDIVISIE
Ajax 2-0 Volendam
NEC 2-1 PEC Zwolle
PSV 2-2 NAC Breda
Twente 0-0 Excelsior

🇵🇹PORTUGAL - PRIMEIRA LIGA
Moreirense 1-0 Santa Clara
Arouca 1-2 Sporting
Estoril 4-2 Vitoria Guimaraes

🇧🇪BELGIUM - PRO LEAGUE
La Louviere 1-2 Sint-Truiden
Club Brugge 4-3 Zulte Waregem
Leuven 0-0 Saint-Gilloise

🇹🇷TURKEY - SUPER LIG
Kayserispor 0-3 Basaksehir
Samsunspor 0-0 Kocaelispor
Karagumruk 1-3 Galatasaray

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿ENGLAND - CHAMPIONSHIP
Middlesbrough 4-0 Preston North End
Millwall 4-0 Charlton Athletic
Birmingham City 1-1 Stoke City
Blackburn Rovers 1-1 Watford
Bristol City 2-0 Sheffield Wednesday
Leicester City 1-2 Oxford United
Sheffield United 3-1 Ipswich Town
Hull City 2-1 Swansea City
Queens Park Rangers 2-3 Wrexham

🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿SCOTLAND - PREMIERSHIP

Aberdeen 6-2 Livingston
Dundee United vs St Mirren (Postponed)
Falkirk 4-1 Hibernian
Motherwell 4-0 Kilmarnock

🇨🇭SWITZERLAND - SUPER LEAGUE

Lausanne-Sport 1-1 Grasshoppers
Lugano 4-1 Winterthur
Sion 1-1 Luzern

🇭🇷CROATIA - HNL

Lokomotiva Zagreb 2-1 Vukovar
Rijeka 2-2

20/01/2026

With MBEYA City Council FC – I just got recognized as one of their top fans! Asante Sana mbeya city

Yanga SC supporters 🇹🇿💛💚This Friday, January 23, Yanga SC face Al Ahly at the Cairo International Stadium in their third...
20/01/2026

Yanga SC supporters 🇹🇿💛💚
This Friday, January 23, Yanga SC face Al Ahly at the Cairo International Stadium in their third CAF Champions League group match.
Both teams sit on 4 points in Group B, each with one win and one draw so far.
⏰ Kick-off: 1:00 a.m.
📺 Live on: AzamSports2HD
💰 Watch with: TZS 28,000 package

Without Coach Pedro, Yanga would not have signed DEPU.This deal cost over TZS 1.2 billion (transfer fee + personal terms...
17/01/2026

Without Coach Pedro, Yanga would not have signed DEPU.
This deal cost over TZS 1.2 billion (transfer fee + personal terms) — the kind of investment usually made by clubs like Al Ahly, Mamelodi Sundowns, and top Arab teams.
Before joining Yanga, Depu:
🏆 Was COSAFA Best Player twice
❌ Rejected offers from Al Ahly Cairo, Orlando Pirates, and Kaizer Chiefs
In just two years, he competed in three tough European leagues:
🇵🇹 Portugal – against Porto, Sporting Lisbon, Benfica
🇷🇸 Serbia – against Crvena Zvezda and Partizan
🇵🇱 Poland – against L**h Poznań, Jagiellonia Białystok, and Legia Warsaw
The clubs he played for were not small teams:
Gil Vicente – 4th in Portugal
FK Vojvodina – 3rd in Serbia
Radomiak – 7th in an 18-team league
This is not a guarantee of instant dominance in Tanzania.
It is simply to show the level of the player and the environment he comes from.
DEPU is a high-level, experienced footballer,
and a signing capable of adding real value to Yanga and to CAF competitions.
Football people will understand. ⚽🟡🟢
kitaaa

🚨 RASMI: NFF YAVUNJA UKIMYA KUHUSU HALI YA OSIMHEN 🇳🇬🦅Shirikisho la Soka Nigeria (NFF) limetoa taarifa rasmi kufafanua t...
07/01/2026

🚨 RASMI: NFF YAVUNJA UKIMYA KUHUSU HALI YA OSIMHEN 🇳🇬🦅
Shirikisho la Soka Nigeria (NFF) limetoa taarifa rasmi kufafanua tetesi zilizokuwa zikimhusisha Victor Osimhen ndani ya kambi ya Super Eagles 👀
🗣️ Taarifa ya NFF:
“Hakuna tatizo kati ya Victor Osimhen na Ademola Lookman. Kile kilichoelezwa k**a mgogoro kati ya ndugu wawili kilitatuliwa ndani ya masaa machache. Osimhen yupo kambini kikamilifu na timu ya taifa, na kila kitu kiko sawa.”
✔️ Hakuna mgogoro
✔️ Hakuna sintofahamu
✔️ Umakini kamili kwenye malengo
Taarifa hii inafuta tetesi zote — kambi ya Super Eagles ipo imara, imeungana na iko tayari kwa changamoto zilizo mbele 🦅💪
📢 Mashabiki wa Nigeria:
Je, wajiandae kwa ajili ya AFCON? 🏆
Tuwaunge mkono vijana wetu hadi mwisho! 👇🔥

Address

0691772353
Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Football kitaa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share