06/02/2026
Pamoja na maingizo mengi waliyoyafanya TRA United katika kipindi cha dirisha dogo la usajili, lakini wameongeza vyuma vitano vya maana sana.
✅️CHAMOU KARABOUE kutoka Simba
✅️MZAMIRU YASSIN kutoka Simba
✅️DENIS NKANE kutoka Yanga
✅️MUHSIN MALIMA kutoka Azam FC
✅️VALENTIN NOUMA zamani Simba
Unawapa asilimia ngapi TRA United kwa usajili huu??🤷♂️
..................
📌PESA IPO HUKU.
MCHEZO WA BAHATISA sasa unakupa pesa mpaka Milion 1 kwa Tsh Mia mbili (200) tu kushinda ni rahisi sana
Kwa mtandao ya AIRTEL, YAS na VODACOM.
Nenda kwenye menu ya malipo kalipe Bill namba ya kampuni 113113, Kisha namba kumbukumbu 333 kiasi ni 200/500/1000
Weka namba ya siri kisha subiri bahati yako..!!