30/12/2022
ππππ
ππππ: πΉπΏ
ποΈ Benjamin Mkapa
SIMBA SC 1-1 TZ PRISONS
β½ Bocco 12'
π₯ Mbangula 24'
β½ Juma 29'
Mzani upo msawazo mpaka mapumziko katika dimba la Benjamin Mkapa dhidi kati ya wenyeji Simba SC dhidi ya Wajelajela Tanzania Prisons.
Licha ya kuwa pungufu ya mchezaji mmoja, Tanzania Prisons ilimudu kupata bao la kusawazisha dhidi ya Mnyama.
sports news