11/07/2026
π¨π¨ TAARIFA ππ½
Mathew Tegisi (21) na Singida Black Stars DEAL LIMEKAMIKA
Pamba Jiji wameamuwa kumuuza mshambuliaji wao, Mathew Tegisi (21) kwenda Singida.
Tayari Tegisi amekubaliana kila kitu na Singida, kilichobaki ni Singida kulipa ada ya uhamisho ili dili likamilike.
Msimu ujao safu ya ushambuliaji ya Singida itaongozwa na Mathew Tegisi na Kitambala Bola ππ½βοΈ
DEAL DONE β
ππ½