Sport Vone Tv

Sport Vone Tv World wide sports events

💣〽️‼️ Vigezo vitakavyotumika kuchagua mfungaji bora (Golden Boot) wa kombe la Dunia endapo wachezaji watamaliza mashinda...
18/07/2026

💣〽️‼️
Vigezo vitakavyotumika kuchagua mfungaji bora (Golden Boot) wa kombe la Dunia endapo wachezaji watamaliza mashindano wakiwa na idadi sawa ya mabao:

➡️Mchezaji mwenye assist nyingi zaidi ndiye atakayeshinda.

➡️Ikiwa idadi ya assist pia itakuwa sawa, mchezaji mwenye dakika chache zaidi alizocheza katika mashindano yote ndiye atakayekuwa na nafasi ya juu zaidi kutwaa kiatu cha dhahabu 🏆⚽

👉Kwa mtazamo wake ni mchezaji atachukua kiatu cha dhahabu?

France vs Englandwho wins today?
18/07/2026

France vs England
who wins today?

Address

P. O. Box 303
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sport Vone Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sport Vone Tv:

Shortcuts

Share

Category