Soka Tz

Soka Tz michezo,burudani na taarifa za dharura

17/09/2024

SOKA TZ IS BACK

Mapinduzi cup.kikosi cha azam vs yanga
10/01/2022

Mapinduzi cup.

kikosi cha azam vs yanga

Mapinduzi Cup.kikosi cha yanga vs azam.
10/01/2022

Mapinduzi Cup.
kikosi cha yanga vs azam.

Usajli.Mshambuliaji wa zamani wa yanga na simba mganda hamiis kiiza amejiunga na kagera sugar
10/01/2022

Usajli.

Mshambuliaji wa zamani wa yanga na simba mganda hamiis kiiza amejiunga na kagera sugar

Mapinduzi Cup. 10/1/2022Nusu fainali ya pili nii..Namungo vs Simba saa 2:15 usiku.nani kutinga fainali?
10/01/2022

Mapinduzi Cup. 10/1/2022
Nusu fainali ya pili nii..

Namungo vs Simba saa 2:15 usiku.
nani kutinga fainali?

Mapinduzi Cup.10/1/ 2022nusu fainali ya kwanza nii...Azam vs Yanga Saa 10:15 jioni.Nani kutinga fainali?
10/01/2022

Mapinduzi Cup.10/1/ 2022
nusu fainali ya kwanza nii...

Azam vs Yanga Saa 10:15 jioni.

Nani kutinga fainali?

Benchi la ufundi la yangaNabi-kocha mkuuCedric kaze-kocha msaidiziMwinyi zahera-mkurugenzi wa ufundi wa soka la vijana.
24/09/2021

Benchi la ufundi la yanga

Nabi-kocha mkuu

Cedric kaze-kocha msaidizi

Mwinyi zahera-mkurugenzi wa ufundi wa soka la vijana.

Kaze is back.Rasmi cedric kaze ametambulishwa kwa mara nyingine tena yanga.
24/09/2021

Kaze is back.

Rasmi cedric kaze ametambulishwa kwa mara nyingine tena yanga.

Tanzia.Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa simba zacharia hanspop amefariki dunia usiku huu.
10/09/2021

Tanzia.

Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa simba zacharia hanspop amefariki dunia usiku huu.

Haruna niyonzima alipokua akiagwa yanga sc aliomba jezi yake namba 8 apewe zawadi mauya lakini kwa sasa jezi  hiyo itava...
17/08/2021

Haruna niyonzima alipokua akiagwa yanga sc aliomba jezi yake namba 8 apewe zawadi mauya lakini kwa sasa jezi hiyo itavaliwa na mganda Khalid Aucho.

simba sc haikusafiri na yusufu mhilu  kwenda moroco.yusufu mhilu bado anamkataba na kagera sugar.usajili wa caf ulifungw...
17/08/2021

simba sc haikusafiri na yusufu mhilu kwenda moroco.

yusufu mhilu bado anamkataba na kagera sugar.

usajili wa caf ulifungwa aug 15

kagera sugar wanataka 220m ili wamuachie yusufu mhilu.

jesus moloka.yanga imemsajili winga wa  A.S VITA CLUB jesus moloka kuja kuziba pengo la Tuisila Tuisila kisinda.Tuisila ...
13/08/2021

jesus moloka.

yanga imemsajili winga wa A.S VITA CLUB jesus moloka kuja kuziba pengo la Tuisila Tuisila kisinda.Tuisila kisinda.

Address

Kondoa Irangi
Manyara

Telephone

+255692826416

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Soka Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category