Kubet Kazi

Kubet Kazi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kubet Kazi, Sports Team, Lindi.

alikamwe naitaji majibu sio kingine tuachane na kufungwa mie mwana soka naelewa ni moja ya matokeo kwenye soka ila kweny...
12/02/2023

alikamwe naitaji majibu sio kingine tuachane na kufungwa mie mwana soka naelewa ni moja ya matokeo kwenye soka ila kwenye ili lazima tukae
Mezani kisha tuambiane yule ndo uyu
Au tumepigwa changa

Malengo
11/02/2023

Malengo

Mwaka wako uhu tunaendelea songesha gurudumu burudani zinaendelea
05/01/2023

Mwaka wako uhu tunaendelea songesha gurudumu burudani zinaendelea

🚗 🚗 🚗  dupamdupange dua ziwe nyingi nitakupakia broo 😂😂😂
01/01/2023

🚗 🚗 🚗 dupamdupange dua ziwe nyingi nitakupakia broo 😂😂😂

Kaka umetisha safari njema ila wenzio bado tupo Tupo kidogo mzeee 😂😂😂😂
31/12/2022

Kaka umetisha safari njema ila wenzio bado tupo
Tupo kidogo mzeee 😂😂😂😂

Kwenye maisha kuna nyia njingi sanaaa zakufanya kazi ukapata pesa ila sio kufanya kazi ukatimiza malengo kalbia vijana o...
30/12/2022

Kwenye maisha kuna nyia njingi sanaaa zakufanya kazi ukapata pesa ila sio kufanya kazi ukatimiza malengo kalbia vijana ote duniani tutamani kuishi k**a vijana wengine waliofanikiwa ila shida iko hapa kiasi ambacho tunapata sio sahii kwenye wakat ambao tuko nao
Mfano maisha ya sasa au jins dunia inavozunguka kila siku utaingiza elf 5 ila uwezi timiza malengo

😂😂😂😂😂😂
20/12/2022

😂😂😂😂😂😂

Huduma tunatoa popote ulipo baada ya nalipo tunakusafilishia gharama juu yako ✅✅✅✅
20/12/2022

Huduma tunatoa popote ulipo baada ya nalipo tunakusafilishia gharama juu yako ✅✅✅✅

KESHO NI SIKU KUBWA MABILIONI YA WATUWATAKUA KWENYE TV NA KIWANJANI WAKIANGALIA MPIRA MIM NIPO UPANDE WANGU UHU WA MESS ...
17/12/2022

KESHO NI SIKU KUBWA MABILIONI YA WATU
WATAKUA KWENYE TV NA KIWANJANI WAKIANGALIA MPIRA MIM NIPO UPANDE WANGU UHU WA MESS WEW UKO UPANDE GAN
Weka comment yako hapo chini

Legend
14/12/2022

Legend

Maisha nimapito
11/12/2022

Maisha nimapito

Address

Lindi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kubet Kazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category