02/09/2026
๐ถ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐
๐นTumewasili katika Uwanja wa Ndege wa OR Tambo Johannesburg, Afrika Kusini,Kikosi kitapumzika hapa kwa muda kabla ya kuendelea na safari kuelekea Gaborone, Botswana๐ง๐ผ