02/04/2022
Kila mtu anategemea kuwezeshwa ili nae aje kuwawezesha wenzake! Kumtegemea mungu ni wajibu wa kila mtu wala syo sheria ya kila mwanadamu huwezi kulazimishwa kupenda kitu k**a hukipendi!! Hakna binadam aliye kamilika kila mtu anajua mapungufu yake japo syo kila mtu anajua mapungufu ya mwenzake! Mungu ni mwema na ni wetu sote!! Tudumishe upendo na amani katika kipindi hiki cha kwarezima mungu yu pamoja nasi!! Nawatakia siku njema na kwarezima njema na mungu awabariki sana!!