Tanzania Chelsea FANS - TCF

Tanzania Chelsea FANS - TCF Jukwaa LA Mashabiki wote wa chelsea Tanzania na nchi zingine wanaotumia lugha ya kiswahili duniani lote...Njooni tusemezane kuhusu Timu yetu kipenzi

Kila kitu tayari kimesainiwa kati ya Chelsea na Napoli kuhusu Kalidou ..Leo hii anafanya vipimo Kisha anasainina kueleke...
14/07/2022

Kila kitu tayari kimesainiwa kati ya Chelsea na Napoli kuhusu Kalidou ..Leo hii anafanya vipimo Kisha anasainina kuelekea LA USA kutambulishwa

10/07/2022

π’π“π„π‘π‹πˆππ† ASAINI CHELSEA

βˆ†Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mwandishi, Fabrizio Romano , Chelsea imekamilisha uhamisho wa nyota kutoka Man city, Raheem Sterling.

βˆ†Taarifa zinasema Chelsea italipa paundi milioni 45 k**a ofa ya usajili huo na paundi milioni 10 k**a bonasi ya usajili huo ambao unakuwa usajili wa kwanza kukamilishwa chini ya umiliki mpya wa tajiri Todd Boehly.

βˆ†Sterling atasaini mkataba wa miaka mitano utakaomfanya adumu ndani ya Chelsea mpaka mwaka 2027 na mkataba huo utakuwa na kipengele cha kuongezewa mwaka mwengine huku akilipwa paundi 300,000 (Tsh. milioni 837) kwa wiki akiwa ndiye mchezaji anayelipwa zaidi ndani ya kikosi hicho cha Chelsea.

βˆ† Kusaini Kwa Sterling huenda kukafungua milango ya nyota kutoka Algeria Hakim Zeyich kukamilisilisha dili la uhamisho wa mkopo kwenda AC MILAN nchini Italy

Usajili ghari mpaka Sasa..Kwa ligi za ulaya..Man city Wamemwaga mpunga mwingi sana kumpata Haaland..timu yako IPO?
04/06/2022

Usajili ghari mpaka Sasa..Kwa ligi za ulaya..Man city Wamemwaga mpunga mwingi sana kumpata Haaland..timu yako IPO?

Chelsea imenyakua ubingwa wa Kombe la Dunia la Vilabu  World Club Cup (WCC)Mchezo wa fainali uliwakutanisha wababe wa ba...
13/02/2022

Chelsea imenyakua ubingwa wa Kombe la Dunia la Vilabu World Club Cup (WCC)
Mchezo wa fainali uliwakutanisha wababe wa bara la Ulaya hao na Mabingwa wa America Kusini clabu ya palimeiras ya Nchini Brazil

It's Thomas Tuchel Birthday today, Enjoy your day coach
29/08/2021

It's Thomas Tuchel Birthday today, Enjoy your day coach

Ratiba ya Chelsea Football Club , kwa Msimu wa 2921/2022..Ratiba ni ngumu sana
16/06/2021

Ratiba ya Chelsea Football Club , kwa Msimu wa 2921/2022..Ratiba ni ngumu sana

Villarreal here we come,,, Tupishe kabisa
30/05/2021

Villarreal here we come,,, Tupishe kabisa

Champions of Europe
30/05/2021

Champions of Europe

26/05/2021

We're Chelsea,Win ,Tie or loose we will always support our beloved Chelsea Football Club under Any conditions ..
Who are with me that " Chelsea Win the Champions league on 29/05/2021...And give as a mist beautiful commerative day on 31 May???

23/05/2021

Chelsea Imefuzu kucheza UEFA mwakani , pamoja na kubali kupoteza mchezo wa mwisho dhidi ya Aston Villa Leo..
Tukutane tar #29/05/2021 UEFA FINAL..pale Ureno

Heri ya siku ya kuzaliwa Moja ya Viungo matata sana wa Siku zijazo pale darajani..Happy Birth Day to Bill Gilmour
11/06/2020

Heri ya siku ya kuzaliwa Moja ya Viungo matata sana wa Siku zijazo pale darajani..
Happy Birth Day to Bill Gilmour

Namba za jersey watakazotumia Wachezaji wa chelsea Kwa msimu wa 2019/2020.....William atatumia namba 10..Pulisic 22...
06/08/2019

Namba za jersey watakazotumia Wachezaji wa chelsea Kwa msimu wa 2019/2020.....William atatumia namba 10..Pulisic 22...

Address

Kilimanjaro
25511MWANGA

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Chelsea FANS - TCF posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share