20/06/2026
π± BIGROCK F1 β Nyanya Inayostawi Kwenye Hali Mbalimbali za Hewa! π±
Je, unatafuta mbegu ya nyanya inayoweza kufanya vizuri hata kwenye maeneo yenye joto kali?
β
BigRock F1 imeendelea kuonyesha matokeo bora katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo Dodoma, eneo linalojulikana kwa hali ya hewa ya joto. Wakulima wamefurahia:
π
Mavuno mengi na yenye ubora wa juu
π
Matunda makubwa, magumu na yanayovumilia usafirishaji
π
Ustahimilivu mzuri katika mazingira tofauti ya uzalishaji
π
Uwezo wa kufanya vizuri hata kwenye maeneo yenye joto kali
BigRock F1 β Chaguo sahihi kwa mkulima anayelenga mavuno yenye faida!
Kwa mahitaji ya mbegu Bora za nyanya za Big Rock F1
Tunapatikana Moshi Kilimanjaro & Arusha na mikoani tunaagiza kwa uaminifu mkubwa sana kwa njia ya bus π
π
0744795652 & 0652330841