Manchester United 2013 EAC

Manchester United 2013  EAC MAUDHUI KUHUSU MANCHESTER UNITED PEKEE 🌍

Admin: Jr Futbal Master

🚨 OFFICIAL..Klabu ya Manchester United imethibitisha usajili wa golikipa Senne Lammens kutokea Royal Antwerp...Karibu ki...
01/09/2025

🚨 OFFICIAL..

Klabu ya Manchester United imethibitisha usajili wa golikipa Senne Lammens kutokea Royal Antwerp...

Karibu kijana

(1) WAKALI WA WIKI WATOKEA  UNITED ...Bruno Fernandes na Bryan Mbeumo kutokea Manchester United ndio wachezaji pekee  wa...
01/09/2025

(1) WAKALI WA WIKI WATOKEA UNITED ...

Bruno Fernandes na Bryan Mbeumo kutokea Manchester United ndio wachezaji pekee waliotengeneza nafasi nyingi kwenye wiki ya 03 ya English Premier...

✍️Bruno Fernandes alitengeneza nafasi (06) dhidi ya Burnley...

✍️Bryan Mbeumo alitengeneza nafasi (05)dhidi ya Burnley ...

WANYAMA 🥶

KWANI HUYU DOGO ANATAKA AENDE  WAPI? Uongozi wa Manchester United umemwambia Kobbie Mainoo kwamba hawezi kuondoka Manche...
01/09/2025

KWANI HUYU DOGO ANATAKA AENDE WAPI?

Uongozi wa Manchester United umemwambia Kobbie Mainoo kwamba hawezi kuondoka Manchester United kwenye majira haya ya kiangazi...

Per Fabrizio Romano..

Baada ya michezo ya kwanza kupata ufinyu wa nafasi, Kobbie Mainoo aliomba kuondoka kwa mkopo, lakini ni ngumu kutoka sababu United haijapata kiungo mwingine na pia hakuna tetesi za kiungo kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika ...

ANABAKI 🥶

🚨 MAJOR BREAKING ..Klabu ya  Manchester United imekamilisha dili la kumsajili golikipa  Senne Lammens kwa ada ya uhamish...
01/09/2025

🚨 MAJOR BREAKING ..

Klabu ya Manchester United imekamilisha dili la kumsajili golikipa Senne Lammens kwa ada ya uhamisho ya €21M ...

Dili la Emiliano Martinez limekufa rasmi, Lammens atafika Manchester United kufanyiwa vipimo na muda wowote kuanzia sasa atakuwa golikipa wa Manchester United...

Per Fabrizio Romano

🚨MAJOR BREAKING ...Klabu ya Aston villa ipo kwenye hatua nzuri ya kukamlisha usajili wa Jadon Sancho kutokea Manchester ...
01/09/2025

🚨MAJOR BREAKING ...

Klabu ya Aston villa ipo kwenye hatua nzuri ya kukamlisha usajili wa Jadon Sancho kutokea Manchester United kwa mkopo ..

Makubaliano baina ya klabu na klabu yamekamilika na pia upande wa mchezaji yanaendelea vizuri...

Per : David Ornstein...

🚨 MAJOR BREAKING ...Klabu ya Real Betis imekubali dili la kumsajili Antony Dos Santos kutokea Manchester United kwa ada ...
01/09/2025

🚨 MAJOR BREAKING ...

Klabu ya Real Betis imekubali dili la kumsajili Antony Dos Santos kutokea Manchester United kwa ada ya uhamisho ya €22M na nyongeza ya €3....

Sio hivyo tu Manchester United pia itapewa pesa huko mbeleni k**a Antony akiuzwa na klabu ya Real Betis kwenda eneo lingine kwa asilimia 50 .....

Deal done and dusted, biashara yenye akili imekamilika ...

Address

Kigoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Manchester United 2013 EAC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category