Mbwamwitu Fc Page

Mbwamwitu Fc Page Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mbwamwitu Fc Page, Sports Team, Kibondo, Kigoma.

Ukurasa rasmi wa Timu ya Mbwamwitu fc pia tunapatikana:-๐Ÿ˜…

๐Ÿค— Facebook | Mbwamwitu Fc Page
๐Ÿค—Instagram | Mbwamwitu Fc Page
๐Ÿค— Youtube | Mbwamwitu Media

Tufuate kwa matukio yote ya michezo kuhusu Mbwamwitu ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Mechi Imekwisha: Mbwamwitu fc 3-0 Kitahana fcmchezo hu umemalizika dakika tisini (90) kwa Mbwamwitu fc kuibuka na Ushind...
14/12/2025

Mechi Imekwisha: Mbwamwitu fc 3-0 Kitahana fc

mchezo hu umemalizika dakika tisini (90) kwa Mbwamwitu fc kuibuka na Ushindi wa bao tatu

HT: Mbwamwitu FC 1-0 Kitahana fcTutarudi kuongeza nguvu zaidi kipindi cha pili
14/12/2025

HT: Mbwamwitu FC 1-0 Kitahana fc

Tutarudi kuongeza nguvu zaidi kipindi cha pili

 /2026: Muonekano wa timu zitakazo shiriki ligi ya mkoa wa Kigoma
13/11/2025

/2026: Muonekano wa timu zitakazo shiriki ligi ya mkoa wa Kigoma

  FLORENCE CUP 2025MATCH DAY | SIKU YA MECHI๐Ÿ†š Line Police(Kibindo)๐Ÿ•ฃ Saa 10:30 Jioni๐Ÿ—“๏ธ 11/01/2025๐ŸŸ๏ธ Uwanja wa gemu, Moyow...
11/01/2025

FLORENCE CUP 2025

MATCH DAY | SIKU YA MECHI
๐Ÿ†š Line Police(Kibindo)
๐Ÿ•ฃ Saa 10:30 Jioni
๐Ÿ—“๏ธ 11/01/2025
๐ŸŸ๏ธ Uwanja wa gemu, Moyowosi De Stadium
๐Ÿ† Florence Cup 2025


Mazoezi ya Mwisho kabla ya kucheza na Police (Kibondo)Ni kesho Jumamosi Tarehe 11-01-2025Usikose
10/01/2025

Mazoezi ya Mwisho kabla ya kucheza na Police (Kibondo)

Ni kesho Jumamosi Tarehe 11-01-2025
Usikose

TAARIFA KWA UMMAMalengo yetu yote sasa yapo Kwenye Ligi ya Mkoa  wilaya Ya KibondoImetolewa na Afsa habari Mbwamwitu Fc ...
09/01/2025

TAARIFA KWA UMMA
Malengo yetu yote sasa yapo Kwenye Ligi ya Mkoa wilaya Ya Kibondo

Imetolewa na
Afsa habari Mbwamwitu Fc

Siku mbaya kazini, Haikuwa bahati yetu! ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅFull Time| Kajuna Fc 3-1 Mbwamwitu FcTutarudi tukiwa imara zaidi
05/01/2025

Siku mbaya kazini, Haikuwa bahati yetu! ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ

Full Time| Kajuna Fc 3-1 Mbwamwitu Fc
Tutarudi tukiwa imara zaidi

 : Dakika 09' Kajuna 1-0 Mbwamwitu FcBado tunaendelea kupambana , Hari ya hewa si rafiki pia
05/01/2025

: Dakika 09' Kajuna 1-0 Mbwamwitu Fc

Bado tunaendelea kupambana , Hari ya hewa si rafiki pia

 : Wanaume 11 watakao pambani mda sio mrefu dhidi ya Kajuna Fc hawa hapa.
05/01/2025

: Wanaume 11 watakao pambani mda sio mrefu dhidi ya Kajuna Fc hawa hapa.

  SIKU YA MECHI | MATCH DAY๐Ÿ† Kigoma Premier League | Ligi kuu mkoa wa Kigoma๐Ÿ—“๏ธ 05 January,2025๐ŸŸ๏ธ Lake Tanganyika Stadium...
05/01/2025

SIKU YA MECHI | MATCH DAY
๐Ÿ† Kigoma Premier League | Ligi kuu mkoa wa Kigoma
๐Ÿ—“๏ธ 05 January,2025
๐ŸŸ๏ธ Lake Tanganyika Stadium
๐Ÿ•ฃ Saa 10:30 Jioni
๐Ÿ†š Kajuna Football Club

Mazoezi ya Mwisho kuelekea mchezo wa Fainali ya ligi ya Mkoa Kigoma
05/01/2025

Mazoezi ya Mwisho kuelekea mchezo wa Fainali ya ligi ya Mkoa Kigoma

Address

Kibondo
Kigoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbwamwitu Fc Page posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mbwamwitu Fc Page:

Share

Category