Chekox Comedy

Chekox Comedy Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Chekox Comedy, Kigoma.
(2)

CHEKOX COMEDY 😂
Karibu kwenye dunia ya vichekesho, burudani na furaha isiyoisha! 🎭🔥
Hapa tunakuletea skits za kuchekesha, matukio ya kila siku kwa mtazamo wa kichekesho, na burudani za kukutoa stress.
🤣 Cheka zaidi, stress kidogo!
🎬 Follow page yetu

🎨🔥 UNATAKA BIASHARA YAKO IONEKANE KITAALAMU?Usipost  tu… ilimladi  JITANGAZE KWA UBORA! 🚀Tunatengeneza DESIGN • THUMBNAI...
11/08/2026

🎨🔥 UNATAKA BIASHARA YAKO IONEKANE KITAALAMU?
Usipost tu… ilimladi JITANGAZE KWA UBORA! 🚀
Tunatengeneza DESIGN • THUMBNAILS • POSTERS zenye mvuto na ubora kwa ajili ya kukuongezea mwonekano mzuri kwenye mitandao ya kijamii. 📱💻
✅ YouTube Thumbnails
✅ Posters za biashara
✅ Posters za wasanii & nyimbo 🎵
✅ Posters za mechi & fixtures ⚽
✅ Birthday & Event Posters 🎉
✅ Facebook & Instagram Posts
✅ Logo Design 🎨
💰 Bei rafiki kuanzia TSh 3,000 tu!
📲 Wasiliana nasi: 0625 007 469
🔥 Kazi safi • Bei nafuu • Uwasilishaji kwa wakati
Usisubiri biashara yako ijulikane yenyewe—ITANGAZE! 🚀


🎬 YouTube Thumbnail — TSh 3,000
📢 Poster ya biashara — TSh 5,000
🎵 Poster ya wimbo/msanii — TSh 5,000
⚽ Poster ya mechi/fixture — TSh 5,000
🏪 Tangazo la duka/biashara — TSh 5,000
🎉 Poster ya birthday/event — TSh 5,000
📱 Facebook/Instagram post — TSh 3,000
🖼️ Logo rahisi — TSh 10,000

SIKILIZA NYIMBO ZA AI NA ZENYE HISIA KALI ZINAZOVUTIA HIZI HAPA👇
01/08/2026

SIKILIZA NYIMBO ZA AI NA ZENYE HISIA KALI ZINAZOVUTIA HIZI HAPA👇

...

NGOLO KANTE: Toka ameitwa katika timu ya taifa hajapewa nafasi ya kucheza sasa unaambiwa huko chuma inasoma 4:0 HT.🤣🤣🇹🇿🇸...
18/07/2026

NGOLO KANTE: Toka ameitwa katika timu ya taifa hajapewa nafasi ya kucheza sasa unaambiwa huko chuma inasoma 4:0 HT.🤣🤣🇹🇿🇸🇸🤝🇨🇩

HUU UTABIRI UNAWEZA KUWA WAKWELI ETIII🤝🇹🇿🇸🇸💞💞🤣
18/07/2026

HUU UTABIRI UNAWEZA KUWA WAKWELI ETIII🤝🇹🇿🇸🇸💞💞🤣

NA HII NDIYO CV YAKE🏆🏆🏆🏆🏆;         JINA KAMILI: Manqoba Brilliant Ferrimant MangqithiTarehe ya kuzaliwa: 25 Aprili 1971U...
12/07/2026

NA HII NDIYO CV YAKE🏆🏆🏆🏆🏆;

JINA KAMILI: Manqoba Brilliant Ferrimant Mangqithi
Tarehe ya kuzaliwa: 25 Aprili 1971
Uraia: Afrika Kusini
Kazi: Kocha wa mpira wa miguu
Leseni ya ukocha: UEFA A Licence �

HISTORIA YAKE:
Maritzburg City
Moja United
Highlanders
University of KwaZulu-Natal
Golden Arrows (2007–2010)
AmaZulu (2010–2011)
Chippa United (2012)
Golden Arrows (2012–2013)
Mamelodi Sundowns (2013–2024) akiwa msaidizi, kocha mwenza, na baadaye kocha mkuu
Golden Arrows (2025)
Young Africans (Yanga SC) – Ameteuliwa kuwa kocha mkuu mwezi Julai 2026. �

MAFANIKIO YAKE MAKUBWA:
Mara 5 bingwa wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini
Bingwa wa CAF Champions League (2016)
Bingwa wa CAF Super Cup (2017)
Bingwa wa Nedbank Cup
Bingwa wa MTN8 mara 2 �

21/06/2026

Kabila gani Lina ma giant🤣🤣🤣
Utacheka eti WAHA ni wababe🤣

21/06/2026

CHEKA NA CHEKOX COMEDY 🤣🤣

21/06/2026

CHAKA NA HII🤣 USIPITWE😭🤣🤣

Address

Kigoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chekox Comedy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chekox Comedy:

Shortcuts

Share