Kibondo Youth Center

Kibondo Youth Center Lengo ni kukuza na kuendeleza vipaji vya soka kwa jinsia zote ⚽🏅⚽.

Kibondo youth center academy sports inapatika mkoani kigoma wilaya ya kibondo mjini kitongoji cha kumwerulo mtaa wa malagarasi uwanja wa shule ya secondary muhabwe 🦅⚽🦅
+255749495344

Kibondo finest Naku James Kazini NBC PREMIER LEAGUE Kagera sugar vs mashujaa fc ... 💪
27/08/2026

Kibondo finest Naku James Kazini NBC PREMIER LEAGUE Kagera sugar vs mashujaa fc ... 💪

Kibondo youth center tunawatakia Watanzania wote heri ya sikukuu ya Maulid ya Mtume Muhammad (S.A.W).
25/08/2026

Kibondo youth center tunawatakia Watanzania wote heri ya sikukuu ya Maulid ya Mtume Muhammad (S.A.W).

Wote wakali 🔥 Hii battle, ya Karimu bakiri na Yao Kouassi Leo ilikua inapendeza sana kuitazama .. 😄
24/08/2026

Wote wakali 🔥 Hii battle, ya Karimu bakiri na Yao Kouassi Leo ilikua inapendeza sana kuitazama .. 😄

Kutoka Dar es salaam Amechagua kuja Kwa wabrasil Karakana ya vipaji , kuipambania safari ya ndoto zake ..
22/08/2026

Kutoka Dar es salaam Amechagua kuja Kwa wabrasil Karakana ya vipaji , kuipambania safari ya ndoto zake ..

Kutoka Jiji ambalo ukienda kumtembelea ndugu yako anakuuliza utakaa siku ngapi 😂 ?  Jiji lenye joto utafikiri lipo karib...
22/08/2026

Kutoka Jiji ambalo ukienda kumtembelea ndugu yako anakuuliza utakaa siku ngapi 😂 ? Jiji lenye joto utafikiri lipo karibu na Jehanam ,
Mpaka kwenye Mkoa wa wapambanaji Kigoma Tanzania , Karibu sana Goalkeeper wa mpira

[FRAME 📸🥷🧒 Sharif Juma🏟️ Maestro 🎽KYC Boys
19/08/2026

[FRAME 📸🥷
🧒 Sharif Juma
🏟️ Maestro
🎽KYC Boys

[FRAME 📸🥷🧒 Raymond Fabian 🏟️ Goal machine 🎽KYC Boys
19/08/2026

[FRAME 📸🥷
🧒 Raymond Fabian
🏟️ Goal machine
🎽KYC Boys

[FRAME 📸🥷🧒 Raphael Daniel (SHUNDU)🏟️ Kiungo mkabaji🎽KYC Boys
18/08/2026

[FRAME 📸🥷
🧒 Raphael Daniel (SHUNDU)
🏟️ Kiungo mkabaji
🎽KYC Boys

[FRAME 📸🥷🧒Rahim Mbona 🏟️ Kiungo mshambuliaji 🎽KYC Boys
18/08/2026

[FRAME 📸🥷
🧒Rahim Mbona
🏟️ Kiungo mshambuliaji
🎽KYC Boys

FRAME 📸🥷👸Zuwena Ladislaus 🏟️ Kiungo mkabaji🎽KYC GIRLS
18/08/2026

FRAME 📸🥷
👸Zuwena Ladislaus
🏟️ Kiungo mkabaji
🎽KYC GIRLS

Address

Kibondo
Kigoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kibondo Youth Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share