Simba Sc

Simba Sc Simba SC News

13/12/2025

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Julius Chacha, Stanley Mahushi, Sundwa Amos

14/01/2023

Kazi yake si haba

 Kesho Jumamosi kikosi kitaondoka nchini kuelekea Dubai ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช kuweka kambi ya mazoezi.Kambi hii ni mwaliko kutoka kwa Rais ...
06/01/2023


Kesho Jumamosi kikosi kitaondoka nchini kuelekea Dubai ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช kuweka kambi ya mazoezi.

Kambi hii ni mwaliko kutoka kwa Rais wa Heshima wa Simba, MoMohammed DewjieMohammed DewjiTaarifa zaidi kwenye Simba App.

๐Ÿ”บMALENGO YA KOCHA KUBEBA UBINGWA WA CAF ๐Ÿ”ธโ€œNimekubaliana na changamoto mpya. Ukiwaza makubwa unafanya makubwa, malengo ni...
03/01/2023

๐Ÿ”บMALENGO YA KOCHA KUBEBA UBINGWA WA CAF ๐Ÿ”ธโ€œNimekubaliana na changamoto mpya. Ukiwaza makubwa unafanya makubwa, malengo ni kufika Nusu Fainali na hata fainali, inawezekana.โ€

Roberto Oliveira, Kocha Mkuu wa Klabu ya si ya SiSimba SC TanzaniaCSimba SC TanzaniaaSimba SC Tanzania....

Kocha mpya wa makombe, tunaenda kuuonyesha na tunazidi kuuonyesha ulimwengu kuwa tunavunja mikataba ya makocha kwa sasa,...
03/01/2023

Kocha mpya wa makombe, tunaenda kuuonyesha na tunazidi kuuonyesha ulimwengu kuwa tunavunja mikataba ya makocha kwa sasa, hatuchukui wasiyo kuwa na timu

Kutoka kwa Maulid kitenge.Zinaweza zikawa ni habari njema kwetu wana Simba SC TanzaniaTETESI: Aliyekuwa kocha klabu ya V...
29/12/2022

Kutoka kwa Maulid kitenge.
Zinaweza zikawa ni habari njema kwetu wana Simba SC Tanzania

TETESI: Aliyekuwa kocha klabu ya Vipers SC, Roberto Oliveira raia wa Brazil huenda akaungana na mshambuliaji wake wa zamani wa Vipers SC na mshambuliaji wa sasa wa Dalian FC, Cesar Manzoki katika klabu ya Simba SC baada ya wawili hao kuhusishwa na Wekundu hao wa Msimbazi.

Kuna ripoti kuwa dili za wawili hao zimekamilika bado kutangazwa tu.

Je Oliveira na Manzoki wataungana huko Simba SC?

Mkongwe wa soka wa Brazil Edson Arantes do Nascimento Pele amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 82 Sao Paulo Brazi...
29/12/2022

Mkongwe wa soka wa Brazil Edson Arantes do Nascimento Pele amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 82 Sao Paulo Brazil baada ya kusumbuliwa na kansa kwa muda mrefu.

APUMZIKE KWA AMANI MFALME MWENYE HISTORIA YA SOKA DUNIANI
Daima atabaki kwenye historia huyu shujaa wa soka ulimwenguni kote.







Inonga bado yupo sana ๐Œ๐’๐ˆ๐Œ๐๐€๐™๐ˆ ๐ŸฆWaliokuwa wanasema anaenda kwa wale wanaowaliza majirani wabishe na hili, hawezi kutoka ...
25/12/2022

Inonga bado yupo sana ๐Œ๐’๐ˆ๐Œ๐๐€๐™๐ˆ ๐Ÿฆ
Waliokuwa wanasema anaenda kwa wale wanaowaliza majirani wabishe na hili, hawezi kutoka kwenye klabu kubwa aende kwenye klabu ndogo k**a hiyo


Karibu kwa wakubwa wa Afrika mashariki mwamba
24/12/2022

Karibu kwa wakubwa wa Afrika mashariki mwamba

Saido ni Mnyama Rasimi
24/12/2022

Saido ni Mnyama Rasimi

"...Ni ngumu sana kushinda ugenini kwenye michuano hii ya Afrika, kikubwa ambacho kimetubeba ni kila mmoja wetu kujitoa ...
13/10/2022

"...Ni ngumu sana kushinda ugenini kwenye michuano hii ya Afrika, kikubwa ambacho kimetubeba ni kila mmoja wetu kujitoa zaidi kwa ajili ya timu jambo lililotupa tulichokikusudia. Tuna dakika nyingine 90, mchezo bado ni mgumu hivyo tutacheza k**a hatujashinda Ugenini.โ€

๐Ÿ”Ž Moses Phiri:
Mshambuliaji wa Simba Sc.






Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simba Sc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Simba Sc:

Share