21/07/2026
π¨ CONFIRMED:Abdulnasir Muhamed rasmi ajiunga na kikosi cha young africans.
Binafsi naona ni mchezaji mzuri,na anaweza kufanya vizuri katika klabu iyoβ½β
Je wewe una uzungumziaje usajili huu walio ufanya young Africans comment apo ππ