05/08/2026
π¨π₯ WATANI WA CAMP UPDATES π₯π¨
BANA CONGO FC π¨π© IMEAMUA KUBADILI NGOZI! ππ¦
Klabu ya Bana Congo FC imezindua LOGO MPYA RASMI yenye muonekano wa kisasa na wa kiwango cha juu.
Wapinzani wameanza kuuliza: "Mbona mmeanza na logo kali hivi, je mnataka na kombe pia?" ππ
Jibu la Bana Congo FC: "Tulianza na nembo, safari inayofuata ni ushindi." πͺβ½
β Mwaka wa kuanzishwa: 2021
Karibuni muione sura mpya ya Bana Congo FC.
BANA CONGO FC π¨π© "Nembo mpya, ari mpya, malengo makubwa!" ππ§‘β½