king.cobla

king.cobla Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from king.cobla, Personal trainer, gangilonga, Iringa.

BCAA = Branched Chain Amino Acids    Kazi zake wakati wa mazoezi1.Inapunguza uchovu2.Inazuia misuli “kuliwa” (muscle bre...
28/01/2026

BCAA = Branched Chain Amino Acids
Kazi zake wakati wa mazoezi
1.Inapunguza uchovu
2.Inazuia misuli “kuliwa” (muscle breakdown)
3.Inaongeza recovery haraka
4.Inaongeza muscle building

Suprement :

Meal :

Gym :

COBRA POWER PACK IS COMING SOON …. Suprement  Meal  Gym
24/01/2026

COBRA POWER PACK IS COMING SOON ….

Suprement

Meal

Gym

Hapa ni nyumbani ,sehemu pekee shujaa huzaliwa na kuandaliwa kuwa mtawa. Najivunia kuzaliwa hapa nijivunia kuwa muhehe a...
14/01/2026

Hapa ni nyumbani ,sehemu pekee shujaa huzaliwa na kuandaliwa kuwa mtawa. Najivunia kuzaliwa hapa nijivunia kuwa muhehe ardhi iliyo tukuka ,Ardhi ya mashujaa utawala wa CHIEF MKWAWA .

8 WEEK TO GO .001_championship  Protein :  Meal :  Gym :
08/10/2025

8 WEEK TO GO .001_championship

Protein :

Meal :

Gym :

Kila hatua ni mafunzo ya kesho ,Na mapito ya leo ni msingi wa kesho .  Protein :  Meal :  Gym:
12/07/2025

Kila hatua ni mafunzo ya kesho ,Na mapito ya leo ni msingi wa kesho .


Protein :

Meal :

Gym:

Habari wanamichezo , Ningependa kushukuru kamati nzima ya  kwa kuwezesha kuleta mashindano haya makubwa Tanzania 🇹🇿. Nao...
04/07/2025

Habari wanamichezo , Ningependa kushukuru kamati nzima ya kwa kuwezesha kuleta mashindano haya makubwa Tanzania 🇹🇿.

Naomba radhi kwa kutokushiliki mashindano haya kwa kukosa ndege ya mapema kufika nzanzibar .Hali ya hewa iringa sio salama kwa usafiri wa anga , Najua nimewaumiza mashabiki wangu wengi ambao walitamani kuona nikishiliki mashindano haya .
Nashukuru sana watu wote ambao mananipa saport na kunipa nguvu ya kulitumikia taifa langu . Wakati ujao nitajitahid kuandaa mazingila mapema na kufika kwenye mashindano kwa wakati .

Protein:

Meal :

Gym :

Big boss
30/06/2025

Big boss

MR IRINGA Protein :  Meal :  Gym :  Sponsar :
29/06/2025

MR IRINGA

Protein :

Meal :

Gym :

Sponsar :

PIZZA  : High-quality,High- protein 💪
16/05/2025

PIZZA : High-quality,High- protein 💪

Eat Pizza fuel your strength
12/05/2025

Eat Pizza fuel your strength

Tembeleea
11/05/2025

Tembeleea

PROTEIN ZETU ZINATIMIZA NDOTO YAKO
07/05/2025

PROTEIN ZETU ZINATIMIZA NDOTO YAKO

Address

Gangilonga
Iringa
+255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when king.cobla posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share