Mgungile Media

Mgungile Media Nyumba ya Michezo Pata habari za michezo zisizo na shaka ndani yake, kwa urahisi na haraka.

LUIS MIQUISSONE KURUDI SIMBA Kuelekea dirisha dogo la usajili Januari 2026, Simba SC tayari imefanya mawasiliano ya awal...
09/12/2025

LUIS MIQUISSONE KURUDI SIMBA

Kuelekea dirisha dogo la usajili Januari 2026, Simba SC tayari imefanya mawasiliano ya awali kumrejesha kikosini Luis Miquissone.

Kuna uwezekano mkubwa Joshua Mutale akatolewa kwa mkopo endapo atakuwa tayari ama kuvunjiwa mkataba. Kumpisha Luis.

Kwa nini Miquissone? Kwa Mujibu wa mmoja wa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, ni kwamba walichoangalia kwa kina na wanaona kina mashiko….

1. Ni fomu yake ya sasa ndani ya UD Songo plus numbers.

2. Pili uzoefu wake Ligi ya Bongo na kuyajua mazingira kwa ujumla. Pia anaujua utamaduni wa Simba.

3. Tatu anatwanga mashindano ya CAF kwa kuwa timu yake haikushiriki tofauti na wachezaji wengi wazuri waishatumika na timu zao ngumu kuwatumia tena msimu huu. Kanuni za CAF zinawabana.

MANENO YA FADLU DAVIDS BAADA KUISHA KWA MSIMU WA NBC PREMIER LEAGUE  2024/25."Mambo mengi yameharibika nje ya uwanja msi...
09/12/2025

MANENO YA FADLU DAVIDS BAADA KUISHA KWA MSIMU WA NBC PREMIER LEAGUE 2024/25.

"Mambo mengi yameharibika nje ya uwanja msimu huu na hiyo inatukatisha sana tamaa."- Fadlu Davids.

"Sasa inabidi tukae sisi na viongozi ili kuona k**a malengo yao yanalingana na yangu kisha tuamue jinsi ya kusonga mbele."- Fadlu Davids.

Address

Kihesa
Iringa
162IRINGA

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mgungile Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mgungile Media:

Shortcuts

Share

Category