Horseman Seth

Horseman Seth Horseman Seth

Simba SC wanakaribia kumsajili Elie Mpanzu (22) kutoka AS Vita Club, imethibitishwa. 🚨🇨🇩 Mazungumzo yakiwa yameendelea s...
31/05/2024

Simba SC wanakaribia kumsajili Elie Mpanzu (22) kutoka AS Vita Club, imethibitishwa. 🚨🇨🇩 Mazungumzo yakiwa yameendelea sasa huku kukiwa na maelezo machache tu yaliyosalia ili hatua hiyo ikamilike. Mpanzu atakuwa mchezaji wa kwanza, Simba itasajili kabla ya msimu ujao. Alikuwa kwenye orodha ya skauti tangu msimu uliopita. Mchezaji anayeweza kufanya kazi pande zote mbili. Alimaliza msimu akiwa DR Congo akiwa na mabao 11. ✨

• El Shenawy• Aliou Dieng• Hussein El Shahat • Emam Ashour• Yasser Ibrahim Orodha ya wachezaji majeruhi kutoka katika ki...
23/03/2024

• El Shenawy
• Aliou Dieng
• Hussein El Shahat
• Emam Ashour
• Yasser Ibrahim

Orodha ya wachezaji majeruhi kutoka katika kikosi cha Al Ahly ambayo inatarajiwa kuwa na mchezo wa ligi ya mabingwa africa dhidi ya Simba wiki ijayo. 🚨

Al ahly huenda wakawakosa nyota hao katika mchezo wa mkondo wa kwanza utakaopigwa machi 30/2024



I've received 100 reactions to my posts in the past 30 days. Thanks for your support. 🙏🤗🎉
05/09/2023

I've received 100 reactions to my posts in the past 30 days. Thanks for your support. 🙏🤗🎉

Simba sports club itakutana na Al Ahly kwenye robo fainali ya kwanza ya ufunguzi wa mashindano ya Africa Football League...
03/09/2023

Simba sports club itakutana na Al Ahly kwenye robo fainali ya kwanza ya ufunguzi wa mashindano ya Africa Football League

Ambapo mechi ya mkondo wa kwanza itachezwa tarehe 20/10/2023 uwanja wa BENJAMIN MKAPA Tanzania
Huku mechi ya mkondo wa pili itachezwa tarehe 24/10/2023 huko mjini Cairo Misiri

Kaa tayari kwa taarifa mbalimbali za michezo kutoka kwa

Ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ukiwa unaendelea, Mkandarasi anaendelea katika maeneo kadhaa ikiwem...
24/08/2023

Ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ukiwa unaendelea, Mkandarasi anaendelea katika maeneo kadhaa ikiwemo taa za uwanjani.

Address

Morogoro
Ifakara
HORSEMAN@17

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Horseman Seth posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category