Muungano Sports Club - Dodoma Makao Makuu

Muungano Sports Club - Dodoma Makao Makuu Muungano Sports Club - Dodoma, huu ni Muungano wanamichezo walioungana kwa lengo la kujenga afya na kuilinda kwa Mazoezi ya Mwili na shughuri za kijamii.

Ukurasa huu unalenga kupashana habari kwa yanayo endelea katika Klabu yetu ya Muungano Sports Club - Dodoma, Makao Makuu. Klabu hii inajumuisha vijana, watu wa makamo, na watu wazima katika mjumuiko wa mazoezi ya mwili, sambamba na kujihusisha na shughuli za kusaidia jamii katika maswala mbalimbali Mfano mazingira,Elimu ya UKIMWI na Makuzi Madhara ya matumizi ya madawa ya kulevya. Klabu pia inamal

engo ya kufanya shughuli za uzalishaji mali kwa lengo kujiongezea kipato kwa Wanaklabu. Njoo ujiunge nasi kwa kuchukua fomu ya kujiunga na kupata maelezo zaidi Ghalama ya kujiunga 10,000/= Klabu imesajiliwa kisheria ka usajili na:11108 Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo.

Kilometa 15 Safi na salama kwa afya Muungano Daima.
12/05/2018

Kilometa 15 Safi na salama kwa afya Muungano Daima.

Ilikuwa ni Moto
06/05/2018

Ilikuwa ni Moto

Muungano Sports Club ndani ya Mbeya
06/05/2018

Muungano Sports Club ndani ya Mbeya

Leo tena
26/04/2018

Leo tena

Twenzetu Mbeya ndani ya Tulia Marathon
22/04/2018

Twenzetu Mbeya ndani ya Tulia Marathon

Umetambua nini kupitia picha hii. Twendezetu Mbeya Tulia Marathon
19/04/2018

Umetambua nini kupitia picha hii. Twendezetu Mbeya Tulia Marathon

Tukutane Mbeya Okwi atangazwa kuwa Barozi.
13/04/2018

Tukutane Mbeya Okwi atangazwa kuwa Barozi.

Jumatatu mwanana Mungu atujaze baraka tele.
09/04/2018

Jumatatu mwanana Mungu atujaze baraka tele.

Pasaka Njema kwenu Wadau wetu.
30/03/2018

Pasaka Njema kwenu Wadau wetu.

24/03/2018

Moral tele

Furaha tele jumamosi ya Leo tumekutana na kufanya root kilometa 11.54 kwa saa 1: 54 mwendo mdogo mdogo kwa afya jasho te...
24/03/2018

Furaha tele jumamosi ya Leo tumekutana na kufanya root kilometa 11.54 kwa saa 1: 54 mwendo mdogo mdogo kwa afya jasho teleeeee asante Mungu, kwa Muungano.

Address

1923 - Dodoma
Dodoma
+255 0693-213310 AND 757 - 088375

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Muungano Sports Club - Dodoma Makao Makuu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Muungano Sports Club - Dodoma Makao Makuu:

Share