Aniseth nicholaustz

Aniseth nicholaustz mungu mkubwa

19/05/2026

deal done CHRIS MUGALO
16/08/2020

deal done CHRIS MUGALO

Mshambuliaji wetu kinara na nyota, Meddie Kagere ambaye tayari anefunga mabao 19 kwenye ligi mpaka sasa ameahidi kufunga...
23/05/2020

Mshambuliaji wetu kinara na nyota, Meddie Kagere ambaye tayari anefunga mabao 19 kwenye ligi mpaka sasa ameahidi kufunga idadi kubwa ya mabao kila atakapo pata nafasi kwa ajili ya kuipa ushindi Simba.

Kagere ambaye kwa sasa yupo nchini kwao Rwanda kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa homa ya virusi vya Corona amesema anaendelea kujifua binafsi na anaamini ligi ikirejea atakuwa fiti.

Kagere amesema yeye k**a mshambuliaji kazi yake ni moja tu kuhakikisha anafunga ili kuipa ushindi timu na kuwapa furaha Wanasimba.

"Mimi ni mshambuliaji na kazi yangu ni kufunga, nitahakikisha nafunga katika kila nafasi nitakayo pata ili kuipa ushindi Simba. Sio kila siku nitafunga isipokuwa nitahakikisha nafunga kila nikipata nafasi," alisema Kagere

Kituo kinachofuata ripuli fc
12/02/2020

Kituo kinachofuata ripuli fc

KIKOSI CHA MAUAJI
07/02/2020

KIKOSI CHA MAUAJI

Aya leo ni leo
07/02/2020

Aya leo ni leo

  mungu
04/02/2020

mungu

Address

Picha Ya Ndege
Dodoma
61104

Telephone

+255766162750

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aniseth nicholaustz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Aniseth nicholaustz:

Share