Amirkhan Yanga Sports

Amirkhan Yanga Sports NAPATIKANA YouTube,Instagram,Facebook & Tiktok kwa Jina Amirkhan Yanga Sports

🔰Follow Page Hii uskose habari za michezo

🟩WANANCHII MNA UPENDO NIFIKESHE 20K

Akiwa uwanjani ni zaidi ya mchezaji 🔰Akiwa bench ni kocha mchezaji 😁 .Kujituma na kupambania nembo ya Yanga kuna fanya a...
21/08/2026

Akiwa uwanjani ni zaidi ya mchezaji 🔰
Akiwa bench ni kocha mchezaji 😁 .

Kujituma na kupambania nembo ya Yanga kuna fanya apendwe sana na wanasimba.

I'm really looking forward to seeing Aziz Ki on the pitch! ⚽⚽

Amirkhan Yanga Sports

KIKOS CHETU CHA MAANGAMIZ HIKI HAPA.MAAFA YAPO LEO?Amirkhan Yanga Sports
12/08/2026

KIKOS CHETU CHA MAANGAMIZ HIKI HAPA.

MAAFA YAPO LEO?

Amirkhan Yanga Sports

NDANI NTITI - NJE NTITIYanga SC bado wako kambi ya PRE SEASON wakiendelea na maandalizi ya msimu mpya, na tayari wameung...
31/07/2026

NDANI NTITI - NJE NTITI
Yanga SC bado wako kambi ya PRE SEASON wakiendelea na maandalizi ya msimu mpya, na tayari wameungana na nyota wao wapya waliowatambulisha na wengine wanataraji kujiunga na timu hivi karibuni,

Ifuatayo ni idadi na orodha ya wachezaji wa kigeni watakaounda (Wachezaji 12 WA kigeni wanaohitajika kwa msimu)
IDADI/ORODHA YA NYOTA WA KIGENI:
1.Diarra Djigui
2.Kouassi Yao
3.Boka Shadrack
4.Max Nzengeli
5.Duke Abuya
6.Allan Okello
7.Peter Shalulile
8.Ibrahima Troure
9.Kangwanda
10.Fred Ngoma
11.Zakouani
12.Oumar K**aro

K**a kuna mchezaji hujamuona kwenye orodha hii, huyo sio sehemu ya wachezaji wa kigeni watakaoiwakilisha Yanga SC ndani ya msimu unaotaraji kuanza.

NB:
Najua maswali ni mengi ila haya ya sasa ndio majibu ya kila swali toka kwenu.
Amirkhan Yanga Sports

🚨UPDATE:Nyota mpya wa Yanga,Justice Figuareido,anatarajia kuingia Tanzania jumapili ya kesho ili kukamilisha taratibu zo...
25/07/2026

🚨UPDATE:Nyota mpya wa Yanga,Justice Figuareido,anatarajia kuingia Tanzania jumapili ya kesho ili kukamilisha taratibu zote za kupiga picha na kutambulishwa na Yanga.

Yanga wamelipa tsh 473m kwenda Chippa United ili kumpata nyota huyo.

Kaa karibu na usajili_na_hansrafael14

DICKSON JOB AREJEA KIKOSINI. Tayari Kuunza Msimu mpya.
23/07/2026

DICKSON JOB
AREJEA KIKOSINI. Tayari Kuunza Msimu mpya.

09/07/2026

NIMEKAA NIKAKUMBUKA HII ONYANGO BEKI WA SIMBA ALIDHALILIKA SANAA😄😄🙌

09/07/2026

Usiwaamini Simba Na Yanga!😄😄🙌

Amirkhan Yanga Sports

21/06/2026

TUSEME UKWELI YANGA YA MSIMU HUU!

Tupo Unga Sanaa k**a tunashindwa kupata mataokeo Azam wakiwa pungufu tukubali tupo unga na sitaki mnifokee😓

Yaan Azam ndiye wa kututangulia sisi wa kuzawazisha na bado tunapasuka!!!

Nashauri wachezaji wakatwe mishahara ya mwezi huu kwa jicho langu na mdudu nimeona hivyo.

Amirkhan Yanga Sports

14/06/2026

Address

TANZANIAN
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amirkhan Yanga Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share