Ligi ya bongo

Ligi ya bongo Page hii ni kwaajili ya michezo, ligi kuu ya Tanzania bara

02/04/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Wendrin Mhumbat, Leonard Msenga

11/11/2022

Get well soon Peter

Klabu ya Kagera Sugar imetangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili golikipa wake Said Kipao.Here we go🔥🔥
13/07/2022

Klabu ya Kagera Sugar imetangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili golikipa wake Said Kipao.

Here we go🔥🔥

DEAL DONE✅Klabu ya Kagera Sugar imemuongezea mchezaji wake Ally Nassoro mkataba wa miaka miwili.Here we go🔥🔥
13/07/2022

DEAL DONE✅

Klabu ya Kagera Sugar imemuongezea mchezaji wake Ally Nassoro mkataba wa miaka miwili.

Here we go🔥🔥

LEO TAARIFA IMETOKA MAPEMA KWAHYO HATUKESHI😀.Klabu ya Yanga SC 🇹🇿 imetangaza kumwongezea Mkataba Mpya wa Mwaka Mmoja Bek...
12/07/2022

LEO TAARIFA IMETOKA MAPEMA KWAHYO HATUKESHI😀.

Klabu ya Yanga SC 🇹🇿 imetangaza kumwongezea Mkataba Mpya wa Mwaka Mmoja Beki wake wa kati,Abdallah Shaibu 'Ninja' ambapo atasalia Klabuni hapo mpaka mwaka 2023.

Kiungo wa klabu ya Simba Sc Pape Ousmane Sakho ameanza safari ya kurejea nchini Tanzania tayari kujiunga na klabu yake y...
12/07/2022

Kiungo wa klabu ya Simba Sc Pape Ousmane Sakho ameanza safari ya kurejea nchini Tanzania tayari kujiunga na klabu yake ya Simba Sc kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya.

Here we go🔥🔥

RASMI : JOYCE LOMALISA NI MCHEZAJI HALALI WA KLABU YA YANGA SC.Here we go🔥🔥
11/07/2022

RASMI : JOYCE LOMALISA NI MCHEZAJI HALALI WA KLABU YA YANGA SC.

Here we go🔥🔥

DEAL DONE✅Klabu ya Yanga Sv imefanikiwa kunasa saini za wachezaji wafuatao.1.Lazarous Kambole2.Bernard Morisson3.Gael Bi...
11/07/2022

DEAL DONE✅

Klabu ya Yanga Sv imefanikiwa kunasa saini za wachezaji wafuatao.

1.Lazarous Kambole
2.Bernard Morisson
3.Gael Birigimana

Here we go🔥🔥

DEAL DONE✅Mpaka sasa klabu ya Simba Sc imefanikiwa kunasa saini za wachezaji wafuatao.1.Moses Phiri2.Habibu Kyombo3.Vict...
11/07/2022

DEAL DONE✅

Mpaka sasa klabu ya Simba Sc imefanikiwa kunasa saini za wachezaji wafuatao.

1.Moses Phiri
2.Habibu Kyombo
3.Victor Akpan
4.Nassoro Kapama

Here we go🔥🔥

NI YEYE MUTU YA KAZI NASSORO KAPAMA🔥🔥Deal Done✅NASSORO KAPAMA IS RED
11/07/2022

NI YEYE MUTU YA KAZI NASSORO KAPAMA🔥🔥

Deal Done✅

NASSORO KAPAMA IS RED

DEAL DONE✅Klabu ya Singida All Big Stars FC 🇹🇿 imekamilisha Usajili wa Golikipa wa zamani wa Klabu ya Yanga SC 🇹🇿 na tim...
11/07/2022

DEAL DONE✅

Klabu ya Singida All Big Stars FC 🇹🇿 imekamilisha Usajili wa Golikipa wa zamani wa Klabu ya Yanga SC 🇹🇿 na timu ya Taifa ya Tanzania 🇹🇿,Metacha Mnata kwa Mkataba wa Miaka Miwili akitokea Klabu ya Polisi Tanzania 🇹🇿

Address

Kilimani Street
Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ligi ya bongo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ligi ya bongo:

Share

Category