Swahili-Football

Swahili-Football Swahili-Footbal ni kampuni ambayo inajishulisha na kutoa historia& habari mbalimbali kutoka ulimwengu wa mpira wa miguu Duniani

Habari za Uhamisho :Barcelona wanajadili uwezekano wa kumnunua Ronaldo
05/07/2022

Habari za Uhamisho :
Barcelona wanajadili uwezekano wa kumnunua Ronaldo

Gabriel Jesus ukiwa katika u*i wa arsenal⚽️
04/07/2022

Gabriel Jesus ukiwa katika u*i wa arsenal⚽️

U*i mpya wa ac millan🔥🔥
04/07/2022

U*i mpya wa ac millan🔥🔥

📌Antonio Rudiger  akabiziwa Nambari 22   katika ukumbi wa Santiago Bernabeu "Barcelona walitaka kunisajili lakini niliwa...
21/06/2022

📌Antonio Rudiger akabiziwa Nambari 22 katika ukumbi wa Santiago Bernabeu

"Barcelona walitaka kunisajili lakini niliwambia kaka yangu na wakala wangu"ima Real Madrid au nastaafu.

Katika mechi 202 alizozicheza akiwa na Chelsea
Rudiger alifunga magoli 12 na pasi za goli 7 🔥
Like👉 Swahili-Football

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili-Football posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category