Mshana sport 90+

Mshana sport 90+ Street vibe

Teka la boli linakarbia kufunga ,  Sisi k**a wana simba tunaamini week ijayo tunaamini atafunga hatrik amzidi shalulile"...
27/08/2026

Teka la boli linakarbia kufunga ,
Sisi k**a wana simba tunaamini week ijayo tunaamini atafunga hatrik amzidi shalulile"""""""

02/08/2026

Type josephcharles jcmaas into the search field

MVP ajaye
23/05/2026

MVP ajaye

πŸ“Š TAKWIMU ZA VIUNGO WASHAMBULIAJI πŸ”₯🟒 Allan Okello (Yanga SC)⚽ Magoli: 9🎯 Assists: 7πŸ”΄ Clatous Chama (Simba SC)⚽ Magoli: 8...
23/05/2026

πŸ“Š TAKWIMU ZA VIUNGO WASHAMBULIAJI πŸ”₯

🟒 Allan Okello (Yanga SC)
⚽ Magoli: 9
🎯 Assists: 7

πŸ”΄ Clatous Chama (Simba SC)
⚽ Magoli: 8
🎯 Assists: 6

Wote wanaendelea kuwa muhimu sana kwenye ubunifu na ushambuliaji wa timu zao msimu huu πŸ’«βš½

Je, nani ana mchango mkubwa zaidi kwa timu yake kati ya hawa wawili? πŸ‘€πŸ”₯

πŸš¨πŸš¨π—π—¨π—¦π—§ π—œπ—‘: imefichuka kuwa mfadhili mkuu wa Yanga (GSM) ameingilia kati jambo la Bonus za wachezaji kuelekea mwishoni mw...
23/05/2026

πŸš¨πŸš¨π—π—¨π—¦π—§ π—œπ—‘: imefichuka kuwa mfadhili mkuu wa Yanga (GSM) ameingilia kati jambo la Bonus za wachezaji kuelekea mwishoni mwa msimu.

GSM amewaahidi wachezaji wa Yanga kupewa Bonus kubwa sawa na ile inayotoka kwenye mechi za CAF Champions League kwenye kila mechi ambayo watashinda ya NBC msimu huu.

Yes! Kuanzia leo wachezaji wa Yanga watapewa Bonus sawa na ile ya mechi za CAF kwenye kila ushindi wa mechi zilizobaki za NBCπŸ€”

GMS anataka matokeo ya ushindi tu na siyo sare wala kupoteza ili kutetea taji la ligi kuu msimu huu.

Mchezaji Bora wa mwezi April NBC PREMIEL LEAGUE ALLAN OKELLO amekabidhiwa tuzo yake.
22/05/2026

Mchezaji Bora wa mwezi April NBC PREMIEL LEAGUE ALLAN OKELLO amekabidhiwa tuzo yake.

🚨 Official: Young Africans have unveiled the signing of former Simba captain Mohamed β€˜Tshabalala’ Hussein.   πŸ”°
05/08/2025

🚨 Official:

Young Africans have unveiled the signing of former Simba captain Mohamed β€˜Tshabalala’ Hussein.

πŸ”°

MVP WA IVORY COAST-ECUAKlabu ya Yanga imemtambulisha Rasmi Celestine Ecua (Miaka 22) raia wa Ivory Coast, Ecua anajiunga...
01/08/2025

MVP WA IVORY COAST-ECUA
Klabu ya Yanga imemtambulisha Rasmi Celestine Ecua (Miaka 22) raia wa Ivory Coast, Ecua anajiunga na Yanga akitokea Zoman FC

Ecua amewahi pia kukupiga kwenye Klabu ya Asec Memosa kwa mkopo akitokea Zoman na msimu wake Bora kwenye soka ulikuwa ni msimu wa

LIGI KUU - IVORY COAST

Mechi: 27
Magoli: 13
Asisti: 12
Penalti zilizofungwa: 2
Jumla ya mchango wa magoli (G/A): 25

Mfungaji Bora wa Pili
Mchezaji Bora wa Msimu (MVP)

Ecua alionyesha kiwango cha juu kwa kuchangia karibu kila mechi moja (asilimia 0.93 ya G/A kwa kila mechi), na kuwa mmoja wa washambuliaji hatari zaidi msimu huu.

KOMBE LA SHIRIKISHO LA CAF
Mechi: 5
Alianza: 3
Miguso ndani ya boksi la wapinzani: 19
Shuti kwenye lango: 3
Magoli: 2
A Asisti: 0

Ecua amejiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili hadi 2027πŸ—žοΈ

Address

Ntyuka Dodoma
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mshana sport 90+ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mshana sport 90+:

Shortcuts

Share