Asili Garden and Sports

Asili Garden and Sports Located in the scenic area of Toangoma, Dar es Salaam, we provide a sophisticated environment for families, athletes, and professionals.

🎉 Ni sherehe ya nguvu!Tarehe 18 Sept 2026, Mrs Vidoboy na Wakina JJ wanakuleta Birthday Party ya mwaka!🔥 Wasanii kibao, ...
07/09/2026

🎉 Ni sherehe ya nguvu!
Tarehe 18 Sept 2026, Mrs Vidoboy na Wakina JJ wanakuleta Birthday Party ya mwaka!
🔥 Wasanii kibao, burudani kali, na kuogelea bure kwenye swimming pool!

💦 Kingilio 10,000/= — kuanzia saa 5 asubuhi mpaka usiku menee!
🌿 Asili Garden & Sports – Toangoma
🥳 Stay • Relax • Celebrate — usikose hii vibe

04/09/2026

🌊 Karibu Septemba na Asili Garden & Sports!
🏊‍♀️ Jiunge na darasa la kuogelea kwa watoto na watu wazima — kuanzia wanaoanza hadi waliobobea.
💧 Bei nafuu, wakufunzi wenye uzoefu, na mazingira salama kwa kila tone la maji.
🌿 Jifunze • Cheza • Refresh — Septemba hii, furahia maisha ya bwawa!

📍 Toangoma, Kigamboni-Dar es Salaam
📞 0725 778 333
📸 Asili Garden & Sports Toangoma | Asili Homes | Garden & Sports -Toangoma

🍽️ Visinia kutoka Asili Garden & Sports!Chakula kizuri, ladha ya kipekee, na sehemu ya kupumzika kwa bei nafuu kabisa!🥂 ...
02/09/2026

🍽️ Visinia kutoka Asili Garden & Sports!
Chakula kizuri, ladha ya kipekee, na sehemu ya kupumzika kwa bei nafuu kabisa!
🥂 Furahia muda mzuri na marafiki huku ukionja vyakula vya ubunifu vinavyotengenezwa kwa upendo.
🌿 Stay • Relax • Celebrate — Asili Garden & Sports, mahali pa ladha na furaha!

📍 Kigamboni-Toangoma, Dar es Salaam
📞 0725 778 333

📸 Asili Homes | Garden & Sports -Toangoma | Asili Garden & Sports Toangoma

🌿 Welcome to Asili Homes — where comfort meets community.Thoughtfully designed spaces that make everyday living feel sec...
01/09/2026

🌿 Welcome to Asili Homes — where comfort meets community.
Thoughtfully designed spaces that make everyday living feel secure, refreshing, and connected.
From peaceful homes to vibrant outdoor experiences, Asili Homes and Asili Garden & Sports bring together recreation, relaxation, and belonging.
🏡 Stay • Relax • Celebrate — find your Asili space today.

📍 Kigamboni, Dar es Salaam
📞 0725 778 333

📸 Asili Homes | Garden & Sports -Toangoma | Asili Garden & Sports Toangoma

21/08/2026

Are you ready?

?

Welcome Asilo Garden and Sports .
16/08/2026

Welcome Asilo Garden and Sports .

Address

Toangoma
Dar Es Salaam
15118

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Asili Garden and Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share