Kamnokole media

Kamnokole media nyumbani kwa story zote za burudani na michezo

14/07/2026

Ukafika muda watu wa mlimani city kupewa habari kamili ya miaka 30 ya bongo frava na mwana fa ,toa maoni Yako burudani ilikuaje?

Follow Kamnokole media

11/06/2026

Show ya davido marekani

Follow Kamnokole media

04/05/2026

Wananchi wanafanya kufuru ya pesa uko kununua video ya okello

Follow Kamnokole media

Alieshambulia hafra ya trump na maafisa wengine wa serikali Washington atambukiwa na kuk**atwa kufikishwa mahak**ani kes...
26/04/2026

Alieshambulia hafra ya trump na maafisa wengine wa serikali Washington atambukiwa na kuk**atwa kufikishwa mahak**ani kesho.

Follow Kamnokole media

26/04/2026

Tukio limetokea usiku huu Washington Hilton ambapo Rais wa Marekani Donald Trump akiwa na Wafanyakazi wa White House wakipata chakula cha Usiku ambapo mashambulizi yalitokea risasi zikidaiwa kupigwa hivyo Maafisa wakifanya kazi kuwaondoa Viongozi ijapo baadae tukio liliendelea k**a kawaida.

Kuna maoni kinzani wapo wanaodai ni tukio la kupangwa na wapo wanaodai ni tukio la kweli.


Follow Kamnokole media

TRUMP aliitangazia dunia kuwa ametuma Ujumbe wake kuelekea Pakistan kwa ajili ya mazungumzo na Iran, licha ya Iran kutoa...
25/04/2026

TRUMP aliitangazia dunia kuwa ametuma Ujumbe wake kuelekea Pakistan kwa ajili ya mazungumzo na Iran, licha ya Iran kutoa taarifa kuwa hawana mazungumzo yoyote tena na Marekani mpaka watekeleze masherti yao, jioni hii rasmi Trump ametangaza kusitisha safari baada ya ukweli kuwa Iran waliondoka punde baada ya mazungumzo na Pakistan kwa maana hawakutaka mazungumzo yoyote na Marekani.

Chagua mshambuliaji mmoja Follow Kamnokole media
25/04/2026

Chagua mshambuliaji mmoja

Follow Kamnokole media

22/04/2026

INASIKITISHA
LEICESTER CITY Yashuka ligi daraja la tatu Nini kimewasibu?

Follow Kamnokole media
Follow Ashilaka Kamnokole

22/04/2026

Nini tatizo la arsenal msimu huu timu mbovu au rekodi zao zinawatesa

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kamnokole media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share