YANGA DAMU DAIMA

YANGA DAMU DAIMA Young Africa is the oldest and biggest football club/ team in Tanzania East and entire Central Africa

Mwezi Mkubwa kwa WananchiπŸ”°πŸ’ͺ🏽      @
02/06/2026

Mwezi Mkubwa kwa WananchiπŸ”°πŸ’ͺ🏽


@

𝐅𝐓’|  JKT Tanzania 0πŸ†š2 Young Africans SC
16/05/2026

𝐅𝐓’|

JKT Tanzania 0πŸ†š2 Young Africans SC


𝐇𝐓’|  JKT Tanzania 0πŸ†š2 Young Africans SC
16/05/2026

𝐇𝐓’|

JKT Tanzania 0πŸ†š2 Young Africans SC


Kikosi kazi dhidi ya JKT TanzaniaπŸ”°πŸ’ͺ🏽
16/05/2026

Kikosi kazi dhidi ya JKT TanzaniaπŸ”°πŸ’ͺ🏽


β€œKwa kipindi cha takribani miaka 90, klabu hii imeendelea kubeba ndoto na dhamira ya dhati ya kuwa na uwanja wake binafs...
15/05/2026

β€œKwa kipindi cha takribani miaka 90, klabu hii imeendelea kubeba ndoto na dhamira ya dhati ya kuwa na uwanja wake binafsi. Sisi, k**a Wananchi tunajivunia mno maono, juhudi na uzalendo wa viongozi waliotutangulia. Viongozi hao walijitolea kwa hali na mali kuhakikisha wanatuachia msingi imara unaobeba historia, heshima na utambulisho wa klabu yetu.

Kupitia juhudi zao, klabu ilifanikiwa kumiliki eneo la ardhi lenye ukubwa wa mita za mraba 35,000 hazina ambayo imehifadhiwa kwa zaidi ya miaka 50. Leo hii, kwa fahari kubwa Wananchi tunaelekea kutimiza ndoto hiyo ya kihistoria kwa kuanza safari ya kujenga uwanja wetu wenyewe.” Eng. Hersi Ally Said


15/05/2026

MUONEKANO WA UWANJA MPYA WA KISASA WA YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB
YANGA DAMU DAIMA


DHAHABU YA JANGWANITUITUNZE, TUILINDE NA TUIPENDERais wa mpiraFollow page yetu YANGA DAMU DAIMA
15/05/2026

DHAHABU YA JANGWANI

TUITUNZE, TUILINDE NA TUIPENDE

Rais wa mpira

Follow page yetu YANGA DAMU DAIMA

Muda mchache kuanzia sasa π‡πˆπ’π“πŽπ‘πˆπ€ inaandikwaπŸ“
15/05/2026

Muda mchache kuanzia sasa π‡πˆπ’π“πŽπ‘πˆπ€ inaandikwaπŸ“


Address

Twiga Street, Jangwani
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when YANGA DAMU DAIMA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category