BONGO SOKA

BONGO SOKA Taarifa zote za michezo Tanzania , usajili na uchambuzi wa matukio ya michezo zote ndani..

04/09/2026

Simba endeleni kupeana kuku wenzenu wanafanya mambo makubwa na wwanafata katiba - Ambokile

03/09/2026

Yanga wamuibua Juma Ayo nae ataka kutangaza jezi

03/09/2026

Simba wakajifunze kwa yanga wameisimamisha dunia wao wanatangaza mchakamchaka

02/09/2026

Ambokile awakalia Simba kooni waache uhuni Serikali inawatambua wawekezaji sio wawekezaji waache upotoshaji

02/09/2026

Key Mziwanda haelewi Simba inakatiba ngapi vipengele havipo mashabiki wachanganyikiwa

01/09/2026

Ambokile kampasua vibaya Mc Garab kuanzisha challeng ndani ya klabu ya Simba kauita uhuni

01/09/2026

Mzee wa jambia - Mashabiki wa Simba mmefanya jambo kubwa sana lwa mchezaji wenu Doumbia itambadilisha na atafunga ambao mengi sana

Libase Gueye amekuwa na wastani mzuri wa kutoa pasi za mwisho yani assist hii inaonyesha ubora mkubwa na mchango katika ...
31/08/2026

Libase Gueye amekuwa na wastani mzuri wa kutoa pasi za mwisho yani assist hii inaonyesha ubora mkubwa na mchango katika magoli ya simba kwa wastani wa kila mechi.

Mdau wetu atabiri mchezo wa leo wa Simba na Geita Gold kuwa mshambuliaji kiongozi wa Simba Ibrahim Doumbia atafunga goli...
31/08/2026

Mdau wetu atabiri mchezo wa leo wa Simba na Geita Gold kuwa mshambuliaji kiongozi wa Simba Ibrahim Doumbia atafunga goli mbili katika mchezo wa leo. Comment ziwe fupifupi

31/08/2026

Ambokile afichua siri za simba viwanjani "Mangungu atajwa ndani ya katiba"

Address

Dar Es Saalam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BONGO SOKA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category