21/08/2026
Hello Fans .
Fred Ngoma Jana alikuwa na kazi Moja Kuituliza timu Kwenye Eneo la Kiungo kwa kutumia Pasi Sahihi 🔥
Ndani ya Dakika 10 alipiga Pasi 8 ikiwa Hakukosea Hata pasi Moja.
Anajua kupiga pasi Kwenye Maeneo salama 👌
Anajua kuepuka Pressure kwa kupiga Pasi Sahihi ✅
✍ Mr. Sports Sciences