06/06/2026
Picha mbalimbali zikionyesha tulivyokuwa tukifanya usafi kituo cha afya cha Viwege kinachotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni.
Sisi k**a New Viwege Joga hatupo mbali na jamii yetu na haya ndio majambo tunayoishi kila siku katika mazingira yanayozunguka.