Ligi Zetu

Ligi Zetu Ligi Zetu | Tanzania Football
Monitoring football competitions across Tanzania.

28/08/2026

Semaji la Mnyama Ahmed Ally amewaomba Mashabiki kuendelea kumsapoti mshambuliaji wao raia wa Mali πŸ‡²πŸ‡± Ibrahim Doumbia katika hali zote.

Nyota wa kimataifa Ibrahim Doumbia hakuwa na mwanzo mzuri ndani ya kikosi cha Simba SC lakini baadhi ya mashabiki wameendelea kumsapoti wakiamini kuwa anayo mambo mazuri ya kuwapa Wanasimba katika michezo inayofuata.

IBRAHIM DOUMBIA ✊🏼🦁

Tusimkatie tamaa, Tuendelee kumpa muda na ikiwezekana tumpe na MASK ili package ya Victor Osimhen ikamilike Binafsi bado...
13/08/2026

Tusimkatie tamaa, Tuendelee kumpa muda na ikiwezekana tumpe na MASK ili package ya Victor Osimhen ikamilike

Binafsi bado nina imani na Ibrahim Doumbia πŸ™ŒπŸ».

TEKA LA MNYAMA 🦁⚽️

12/08/2026
Usipoweza kumlinda mpenzi wako, Muda wowote watu wanapita nae πŸ‘€πŸ’šMJINI WATU HAWANA HURUMA πŸ˜‚
12/08/2026

Usipoweza kumlinda mpenzi wako, Muda wowote watu wanapita nae πŸ‘€πŸ’š

MJINI WATU HAWANA HURUMA πŸ˜‚

11/08/2026

MACHO KWENYE SCREEN, MACHO KWENYE VIDEO πŸ‘€

MWALIMU NI MWANANCHI πŸ’šβœοΈπŸΌ

Sio wewe tu, Hata mimi NINASHINDWA KUELEWA πŸ˜„

Rasmi klabu ya Simba SC imetambulisha usajili wa Mshambuliaji raia wa Mali πŸ‡²πŸ‡± Ibrahim Doumbia.Doumbia anajiunga na Simba...
24/07/2026

Rasmi klabu ya Simba SC imetambulisha usajili wa Mshambuliaji raia wa Mali πŸ‡²πŸ‡± Ibrahim Doumbia.

Doumbia anajiunga na Simba SC akiwa ndiye mfungaji bora wa ligi kuu ya Mali ambapo amefunga jumla ya magoli 17 na kutoa Assist 5 kwenye michezo 24.

Ibrahim Doumbia amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Simba SC wenye kipengele cha kuongeza mwaka mwengine.

Doumbia ni Mnyama ⚽️🦁

Rasmi klabu ya Simba SC imetambulisha usajili wa Winga Bakari Msimu (18)Msimu amejiunga na Simba SC akitokea Coastal Uni...
21/07/2026

Rasmi klabu ya Simba SC imetambulisha usajili wa Winga Bakari Msimu (18)

Msimu amejiunga na Simba SC akitokea Coastal Union baada ya mkataba wake kumalizika.

Moja ya talent kubwa nchini imemwaga wino kwenye kandarasi ya miaka miwili kuitumikia Simba Sports Club.

Simba SC imefungua vizuri dirisha la usajili kwa kuanza kuwatambulisha wachezaji Kelvin Nashon (Kiungo Mkabaji) na Natha...
20/07/2026

Simba SC imefungua vizuri dirisha la usajili kwa kuanza kuwatambulisha wachezaji Kelvin Nashon (Kiungo Mkabaji) na Nathan Chilambo (Beki wa kulia)

Kitu kizuri ni kuwa wachezaji hawa wote wawili wana uzoefu mkubwa wa ligi kuu ya NBC na wana uwezo wa kukabiliana na presha ya michezo mikubwa jambo ambalo wameshathibitisha kwenye vilabu walivyotokea.

Chilambo anakuja kuimarisha safu ya ulinzi ya Mnyama hasa upande wa kulia ambao ulikuwa na machaguo mawili tu Shomari Kapombe na David Kameta ambapo mara kadhaa yalionekana madhaifu madogo madogo kwenye eneo hilo lakini ujio wa Chilambo utaenda kuamsha hari na ushindani kwenye eneo hilo na kufanya mbavu ya kulia ya Mnyama Simba iwe imara zaidi.

Kelvin Nashon ambaye ni kiungo mkabaji mwenye uzoefu mkubwa wa kutawala eneo la chini la kiungo anakuja Msimbazi kuongeza uimara katika eneo hilo ambalo tayari lina watu mahiri k**a Yusuph Kagoma na kijana Hussein Semfuko, hakuna asiyefahamu ubora wa Kelvin Nashon kwenye vilabu vyote alivyopita na sasa ni wakati wa kudhihirisha ubora wake kwenye jukwaa kubwa la Mnyama Simba.

Simba SC bado wanashusha vyuma lakini hizi karata walizoanza nazo zinaonesha ni kwa namna gani viongozi wa Simba SC walitulia sokoni ili kuwaletea Wanasimba wachezaji wenye quality inayoendana na timu yao.

MNYAMA YUPO SERIOUS SANA 🦁πŸ”₯

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ligi Zetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category