Yanga soccer school

Yanga soccer school Wapambanaji wetu wa kesho πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°
(12)

30/08/2026

πŸ”°πŸ”°πŸ”° Wanaokutana na Yanga ndio wanaojua Moto wa Yanga πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

30/08/2026

πŸ”°πŸ”°πŸ”° Mwamba Hiyo Bila shaka Tumemiss Ndani ya pitch πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Tumuombee Apone Haraka jamani πŸ–οΈπŸ–οΈπŸ–οΈπŸ–οΈ

30/08/2026

πŸ”°πŸ”°πŸ”° Mke wa Skudu Anasema hawezi kusahau Nyimbo za Wananchi Kipindi Mme wake alikuwa Anaichezea yanga πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Miamba ya soka nchini, Simba SC na Yanga SC, inakabiliwa na ratiba ya vipimo vizito katika michuano ya ndani na kimataif...
30/08/2026

Miamba ya soka nchini, Simba SC na Yanga SC, inakabiliwa na ratiba ya vipimo vizito katika michuano ya ndani na kimataifa kabla ya kukutana kwenye mchezo wa watani wa jadi (Kariakoo Derby) uliopangwa kupigwa Oktoba 10.

Mechi (4) Zijazo za Simba 🦁: πŸ‘‡πŸΌ

β€’ Agosti 31: Dhidi ya Geita Gold (Home)

β€’ Septemba 6: Dhidi ya Mighty Wanderers (Away) CAFCL

β€’ Septemba 9: Dhidi ya Azam FC (Away)

β€’ Septemba 13: Dhidi ya Mighty Wanderers (Home) CAFCL

Mechi 4 Zijazo za Yanga SC (Wananchi): πŸ‘‡πŸΌ

β€’ Agosti 31: Dhidi ya Fountain Gate (Away)

β€’ Septemba 5: Dhidi ya Gaborone United (Away) CAFCL

β€’ Septemba 8: Dhidi ya Geita Gold (Home)

β€’ Septemba 12: Dhidi ya Gaborone United (Home) CAFCL

NOTE: Baada ya kukamilisha ratiba hizo pamoja na kupisha kalenda ya michezo ya kimataifa ya FIFA, miamba hiyo itavaana rasmi kwenye Kariakoo Derby tarehe Oktoba 10.

NB: Nani ana ratiba Ngumu kuelekea K/Dabi Oktoba ??

πŸ”°πŸ”°πŸ”° Mwanainchi Usipange kukosa Kesho πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Tukutane Arusha Tukagawe Dozi πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
30/08/2026

πŸ”°πŸ”°πŸ”° Mwanainchi Usipange kukosa Kesho πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Tukutane Arusha Tukagawe Dozi πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

𝗣π—₯π—˜π—¦π—¦  πŸŽ™οΈ β€œHizi ni miongoni mwa mechi ngumu na ni muhimu sana Kushinda, tunafahamu Fountain Gate wana mwalimu mzuri amba...
30/08/2026

𝗣π—₯π—˜π—¦π—¦ πŸŽ™οΈ

β€œHizi ni miongoni mwa mechi ngumu na ni muhimu sana Kushinda, tunafahamu Fountain Gate wana mwalimu mzuri ambaye amewahi kuwa sehemu ya Benchi la Yanga hivyo anajua tamaduni za klabu, Ni mzoefu na ana wachezaji wazuri, Sisi k**a Yanga tunapaswa kufanya kazi kubwa ili kushinda kesho”

β€œTunafahamu wapinzani wetu wamepoteza michezo kadhaa hapo nyuma lakini jukumu letu ni kuheshimu kila mchezo, tumewaangalia Fountain Gate namna wanavyocheza na leo tunakwenda kufanya maandalizi ya mwisho ya kucheza nao, naamini tutakuwa na Mechi nzuri”

β€œNawaomba sana Wananchi waje kwa Wingi, wao ni muhimu sana kwa timu, ni muhimu pia Kwangu k**a kocha kwasababu wananipa morali ya kufanya vyema kila siku, nawashukuru sana kwa sapoti yao tangu tumefika hapa nchini na nawaomba kesho waje ili tushinde pamoja”

πŸ—£οΈ Manqoba MNGQITHI

πŸ”°πŸ”°πŸ”° Mawata pleyaa wakipasha misuliπŸ’ͺπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
30/08/2026

πŸ”°πŸ”°πŸ”° Mawata pleyaa wakipasha misuliπŸ’ͺπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

The best picture of the Day πŸ‘‡πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
30/08/2026

The best picture of the Day πŸ‘‡πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

🚨Mechi 4 zijazo za Wananchi πŸ”°September 1, Vs Singida Black Stars (Away)September 5, Vs Gaborone United (Away)September 8...
30/08/2026

🚨Mechi 4 zijazo za Wananchi πŸ”°

September 1, Vs Singida Black Stars (Away)
September 5, Vs Gaborone United (Away)
September 8, Vs Geita Gold (Home)
September 12, Vs Gaborone United (Home)

Baada ya hapo,Kalenda ya FIFA....DERBY October 10

πŸŸ©πŸŸ¨β¬›STRAIKA HATARI π‘ͺπ’‰π’†π’Šπ’Œπ’‰ π‘°π’ƒπ’“π’‚π’‰π’Šπ’Žπ’‚ 𝑻𝑢𝑼𝑹𝑬 ameweka wazi kwamba mchezaji mwenzake, Peter Shalulile ni mtu mzuri na mwema san...
30/08/2026

πŸŸ©πŸŸ¨β¬›STRAIKA HATARI π‘ͺπ’‰π’†π’Šπ’Œπ’‰ π‘°π’ƒπ’“π’‚π’‰π’Šπ’Žπ’‚ 𝑻𝑢𝑼𝑹𝑬 ameweka wazi kwamba mchezaji mwenzake, Peter Shalulile ni mtu mzuri na mwema sana kwake kwani mara zote amekuwa akimsapoti na kumtia moyo hasa kipindi ambacho alikuwa hafungi.πŸ«‚

Toure ameongeza kwamba anajisikia fahari sana kucheza na wachezaji wakubwa k**a Shalulile, Housseine na wengine wengi. Mwisho kabisa, amesisitiza kuwa anatarajia kufunga magoli mengi sana akiwa na Young Africans πŸ”₯


Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yanga soccer school posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category