ᴀᴢɪɪᴢ.ᴋɪ.10

ᴀᴢɪɪᴢ.ᴋɪ.10 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ᴀᴢɪɪᴢ.ᴋɪ.10, Sports Club, Dar es Salaam.

-Azam Fc wameshikilia hatma ya makombe yote ya Yanga msimu huu...Simba wanamtazama Azam Fc k**a timu pekee itakayomzuia ...
01/06/2026

-Azam Fc wameshikilia hatma ya makombe yote ya Yanga msimu huu...Simba wanamtazama Azam Fc k**a timu pekee itakayomzuia Yanga kwenye mbio za Ubingwa wa ligi na FA

Je, Azam Fc wanaweza kuibeba hiyo dhamana?


...

Mwezi Mkubwa kwa Wananchi🔰💪🏽     ...
01/06/2026

Mwezi Mkubwa kwa Wananchi🔰💪🏽


...

🚨𝐄𝐗𝐂𝐋𝐔𝐒𝐈𝐕𝐄: Yanga watakuwa bize sana kwenye hili dirisha kubwa la usajili.Wacheza 6-7 wapya wa kigeni watasajiliwa……Yang...
01/06/2026

🚨𝐄𝐗𝐂𝐋𝐔𝐒𝐈𝐕𝐄: Yanga watakuwa bize sana kwenye hili dirisha kubwa la usajili.

Wacheza 6-7 wapya wa kigeni watasajiliwa……Yanga watakuwa bize sana.


...

Star boy tafadhali acha kutuharibia Vijana wetu😁😁 Kwani kabla yako huyo hakuwa hivyo😂  ...
31/05/2026

Star boy tafadhali acha kutuharibia Vijana wetu😁😁 Kwani kabla yako huyo hakuwa hivyo😂


...

Maisha ni fumbo kubwa sana✍️Mbappe kaitumikia PSG msimu 7 bila kushinda UEFA,akaona hapa siyo sehemu sahihi ya kunipa UE...
31/05/2026

Maisha ni fumbo kubwa sana✍️

Mbappe kaitumikia PSG msimu 7 bila kushinda UEFA,akaona hapa siyo sehemu sahihi ya kunipa UEFA na Ballon d’Or,kasepa zake Real Madrid.

Baada ya kujiunga na Real Madrid huku PSG wakashinda UEFA na mchezaji wao Dembele akabeba Ballon d’Or,k**a haitoshi PSG jana wameongeza UEFA ya pili mfululizo na pengine Dembele anaweza kushinda Ballon d’Or ya pili mfululizo.

Huku kwa Mbappe mambo ni Magumu,NO UEFA,NO Ballon d’Or,NO Laliga na mbaya zaidi mashabiki milion 30.3 wa Real wamesaini kampeini ya kumfukuza Mbappe huku wakimuita Dictator😎

Maisha ni fumbo kubwa sana,muombe Mungu akupe uchaguzi sahihi🙌

Hongereni sana mashabiki wa   kwa kuwa mabingwa wa   msimu huu.😁😁😁
31/05/2026

Hongereni sana mashabiki wa kwa kuwa mabingwa wa msimu huu.

😁😁😁

30/05/2026

Chumaaaa PSG 1 Arsenal 1 🔥🔥🔥

Mmmhh jamaniii... Mbona K**a vita ya mtaa kwa mtaa mmekuja na MAGOBOLE tena Wananchi😁  ...
30/05/2026

Mmmhh jamaniii... Mbona K**a vita ya mtaa kwa mtaa mmekuja na MAGOBOLE tena Wananchi😁


...

30/05/2026

Chumaaaaaa arsenal 1 🔥🔥🔥🔥

Kikosi Kazi cha Arsenal dhidi ya PSG kwenye fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya.
30/05/2026

Kikosi Kazi cha Arsenal dhidi ya PSG kwenye fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ᴀᴢɪɪᴢ.ᴋɪ.10 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category