15/08/2026
Bonge la plan kutoka kwa Young Africans na timu nzima ya maudhui .
yanga wamefanikiwa kuingiza 250M kutokana na viingilio vya Mashabiki waliojitokeza pale KMC Complex kutizama utambulisho wa X-FACTOR ambae si mwengine ni Aziz Ki.
Mchezaji Aziz ki amekabidhiwa Tena jezi yake ya namba Kumi baada ya Mchezaji Pacome Zouzoua kukubali kumkabidhi jezi hio.
oyaaaaa Ile namba 10 imerejea Tena kwenye viunga vya Twiga na Jangwani.
wananchi wanaimba ....shemeji....shemeji ..............shemeji ππ Master Ki karibu Nyumbani .
taka