Grey king

Grey king No why just do

😭😭😭😭😭
21/06/2024

😭😭😭😭😭

Uzuri WA maji ni nini ukiwa beach ⛱️🏖️
10/04/2024

Uzuri WA maji ni nini ukiwa beach ⛱️🏖️

30/01/2024

Bado ni mwaka mpya nguvu za soda zipo mwaka....

Ardhi ni mtaji katika biashara ipi au ni...
30/01/2024

Ardhi ni mtaji katika biashara ipi au ni...

Hii Una patikana wap
30/01/2024

Hii Una patikana wap

Unaweka shingap kwenye kichwa Cheney "F"
30/01/2024

Unaweka shingap kwenye kichwa Cheney "F"

Hifadhi
22/01/2024

Hifadhi

Mwendelezo wa story ya Beka Flavour na baby mama wake Happy, baada ya Happy kukiri kuwa yupo tayari kurudi kwa Beka laki...
03/01/2024

Mwendelezo wa story ya Beka Flavour na baby mama wake Happy, baada ya Happy kukiri kuwa yupo tayari kurudi kwa Beka lakini kwa sharti moja la Beka kwenda kupeleka mahari kwanza nyumbani kwa mrembo huyo.

Kupitia mahojiano aliyoyafanya na kituo cha Clouds FM jioni ya leo Beka amefunguka kuwa mwaka jana alikuwa kwenye mchakato wa kukamilisha kigezo hicho lakini akashindwa kutokana na projects zake za muziki, lakini pia zaidi ikiwa ni kiwango cha mahari kuwa kubwa sana.

Beka anasema mahari inayohitajika kwaajili ya kumuoa Happy ni karibu Tsh. Milioni 22 kiasi ambacho kwa uwezo wake ni kikubwa mno.

Hii imekaaje 😀😀😀😀D voice
03/01/2024

Hii imekaaje 😀😀😀😀
D voice

Waaa look how this shop is stock with nice drinks.
30/12/2023

Waaa look how this shop is stock with nice drinks.

Mkoa gan tz huwaambii kitu kuhusu BEST NASO?😜😜😜😜😜
19/12/2023

Mkoa gan tz huwaambii kitu kuhusu BEST NASO?

😜😜😜😜😜

19/12/2023

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255743749210

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Grey king posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Grey king:

Share