Mohamed Hussein15

Mohamed Hussein15 *Off. Facebook Acc. Of Mohamed Hussein Mohamed
*⚽️ 🇹🇿
*MVP🥇2016/2017
*Tanzania best defender🥇 2021/2022

12/12/2025

Afisa habari na mawasiliano wa Shirikisho la Mpira Tanzania TFF Clifford Mario Ndimbo amesema malengo ya Tanzania kwenye mashindano ya AFCON 2025 mwaka huu ni kuchukua kombe.

Ameyasema hayo Leo Disemba 12 akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesisitiza kwamba lengo kuu ni Kombe mambo yasipokuwa mazuri basi tufike kwenye hatua za mtoano.

Tupe tafsiri ya hii picha
12/12/2025

Tupe tafsiri ya hii picha

12/12/2025

Gwiji wa uchambuzi amesema k**a Yanga wangekuwa hawafanyi vizuri Eng Hersi Said wangemjia juu k**a inavyotokea kwa Simba.

11/12/2025

Taifa Stars Wakiwa Nchini Misri Kwa Ajili Ya Maandalizi Ya Afcon 2025 Nchini MOROCCO.

Tuachane na uchabiki wa Simba na Yanga ila tuiombee Taifa
11/12/2025

Tuachane na uchabiki wa Simba na Yanga ila tuiombee Taifa

Tuiombe Taifa Stars
11/12/2025

Tuiombe Taifa Stars

humu tuu
11/12/2025

humu tuu

10/12/2025

“Baada ya mchezo dhidi ya Coastal Union, nitoe pongezi kwa wanachama waliojitokeza uwanja wa jamhuri kuunga mkono timu yao. Hamasa ambayo mashabiki waliyotoa waliwaonesha wachezaji kuwa wanaamini hata k**a imebaki sekunde chache bado timu ingeweza kupata bao”

10/12/2025

Safari yetu ya jana kutoka Dar hadi NCHINI MISRI KWA AJILI YA KAMBI YA AFCON

Timu ya Taifa taifa stars imefanya mazoezi kwenye uwanja wa Hoteli ya Jewel, Misri kujiandaa na Fainali za AFCON 2025, M...
10/12/2025

Timu ya Taifa taifa stars imefanya mazoezi kwenye uwanja wa Hoteli ya Jewel, Misri kujiandaa na Fainali za AFCON 2025, Morocco

Taifa letu💪
10/12/2025

Taifa letu💪

AFCON 2025: Hili hapa 'jeshi' la Kocha Miguel Gamondi litakaloipeperusha bendera ya Tanzania kwenye michuano ya  .Tanzan...
09/12/2025

AFCON 2025: Hili hapa 'jeshi' la Kocha Miguel Gamondi litakaloipeperusha bendera ya Tanzania kwenye michuano ya .

Tanzania ipo kundi 'C' linalojumuisha Uganda, Nigeria na Tunisia.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mohamed Hussein15 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category