Juhudi Princess Rede Club

Juhudi Princess Rede Club Juhudi Princess Rede Club ni timu ya rede makazi yake ni Dar es salaam, Temeke, Mbagala, Kiburugwa, Juhudi

Tunakutakia wewe na uwapendao heri ya sikukuu ya Pasaka.We wish you and your loved ones a Happy Easter.
05/04/2026

Tunakutakia wewe na uwapendao heri ya sikukuu ya Pasaka.

We wish you and your loved ones a Happy Easter.

22/03/2026
Familia yetu ya   leo hii tumepatwa na msiba wa mchezaji wetu kipenzi   maarufu k**a  .  **ano_Afya_Ajira.
09/03/2026

Familia yetu ya leo hii tumepatwa na msiba wa mchezaji wetu kipenzi maarufu k**a .

**ano_Afya_Ajira.

Leo ni kumbukizi ya kutimiza miaka mitatu(3) tangu kuanzishwa kwa timu yetu ya JUHUDI PRINCESS REDE CLUB.Shukrani na pon...
05/11/2025

Leo ni kumbukizi ya kutimiza miaka mitatu(3) tangu kuanzishwa kwa timu yetu ya JUHUDI PRINCESS REDE CLUB.
Shukrani na pongezi ziende kwa wapenzi, mashabiki na wadau wetu wote wanaotutakia mema na kutusapoti.
🙏🙏🙏🙏
**ano_Afya_na_Ajira

Mechi yetu ya nusu fainali ya ligi ya CHAUREMBO SUPER CUP  dhidi ya KONAKALI QUEENS. Na tumefanikiwa kuibuka na ushindi ...
24/10/2025

Mechi yetu ya nusu fainali ya ligi ya CHAUREMBO SUPER CUP dhidi ya KONAKALI QUEENS. Na tumefanikiwa kuibuka na ushindi mnono.
FT: JUHUDI PRINCESS 3 - 1 KONAKALI QUEENS
**ano_Afya_na_Ajira

Leo tumecheza mechi yetu ya pili ya ligi ya CHAUREMBO SUPER CUP CHAMAZI dhidi ya WAUNGWANA QUEENS. Na tumefanikiwa kuibu...
19/10/2025

Leo tumecheza mechi yetu ya pili ya ligi ya CHAUREMBO SUPER CUP CHAMAZI dhidi ya WAUNGWANA QUEENS. Na tumefanikiwa kuibuka na ushindi mnono.
JUHUDI PRINCESS 6 - 0 WAUNGWANA
**ano_Afya_na_Ajira

Kikosi kazi kilichoaminiwa na wapenzi na mashabiki wote wa JUHUDI PRINCESS lengo kuleta ubingwa wa mashindano CHAUREMBO ...
17/10/2025

Kikosi kazi kilichoaminiwa na wapenzi na mashabiki wote wa JUHUDI PRINCESS lengo kuleta ubingwa wa mashindano CHAUREMBO REDE SUPER CUP
Hii ndio juhudi bana THE PRIDE OF KIBURUGWA
**ano_afya_na_ajira

17/09/2025

Kwenye moja na mbili kabla ya mazoezi wachezaji na viongozi wao.
**ano_Afya_na_Ajira

Mazoezi ya leo katika kujiweka sawa na mashindano. **ano_Afya_na_Ajira
20/08/2025

Mazoezi ya leo katika kujiweka sawa na mashindano.
**ano_Afya_na_Ajira

Ni mechi yetu ya kirafiki dhidi ya ndugu zetu SANTIAGO QUEENS, Mungu alitusaidia nankuibuka na ushindi wa magoli 7 kwa 0...
03/08/2025

Ni mechi yetu ya kirafiki dhidi ya ndugu zetu SANTIAGO QUEENS, Mungu alitusaidia nankuibuka na ushindi wa magoli 7 kwa 0.
**ano_Afya_na_Ajira

Heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kapten wetu muandamizi BAHATI. **ano_Afya_na_Ajira
21/06/2025

Heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kapten wetu muandamizi BAHATI.
**ano_Afya_na_Ajira

Address

Juhudi
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Juhudi Princess Rede Club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category