12/06/2026
๐ก NYUMBA YA KIFAHARI INAUZWA โ KIGAMBONI KISOTA, DAR ES SALAAM ๐ก
๐ฅ BEI IMEPUNGUA KUTOKA MILIONI 550 HADI MILIONI 490 TU! ๐ฅ
๐ Eneo: Kigamboni Kisota, Dar es Salaam
๐ Ukubwa wa eneo: Square Meter 750
๐ Limepimwa na lina Hati ya Rizala
โจ Sifa za Nyumba:
๐๏ธ Vyumba 6 vya kulala
๐๏ธ Sebule kubwa na ya kisasa
๐ฝ๏ธ Dining room
๐จโ๐ณ Jiko kubwa la kisasa
๐ Servant Quarter 1
๐ Parking kubwa ya magari mengi
๐ณ Garden ya kutosha kwa mapumziko na shughuli mbalimbali
๐งฑ Tiles za kisasa
๐จ Gypsum nzuri ndani ya nyumba
โก Umeme wa Three-Phase
๐ง Maji safi yasiyo na chumvi
๐ฃ๏ธ Barabara za paving na mazingira bora
๐ Mita 400 tu kutoka barabara ya lami
๐ Kilomita 3 hadi Daraja la Nyerere
โด๏ธ Kilomita 4 hadi Kivuko cha Ferry
โ
Mtaa wa hadhi ya juu unaokua kwa kasi
โ
Ulinzi wa kutosha muda wote
โ
Inafaa kuishi au kuwekeza kwa ajili ya upangishaji
๐ฐ Bei: TZS 490,000,000 Tu (Mazungumzo yapo kidogo)
๐ Call/WhatsApp: +255780966722