OPEC FOOT BALL CLUB

OPEC FOOT BALL CLUB Opec fc ni club ya mpira wa miguu iliyoanzishwa 10/02/2008

Tunashinda pamoja, tukipoteza tunapoteza pamoja bado tunanafasi ya kusonga mbele opec yetu wote
03/02/2025

Tunashinda pamoja, tukipoteza tunapoteza pamoja bado tunanafasi ya kusonga mbele opec yetu wote

Final score OPEC FC 1 -ENJOY SOCCER 1Samweli ⚽p.56'Mesii⚽Asanteni kwa kuja mechi ilikuwa nzuri na bora sana
17/01/2025

Final score OPEC FC 1 -ENJOY SOCCER 1
Samweli ⚽p.56'
Mesii⚽
Asanteni kwa kuja mechi ilikuwa nzuri na bora sana

17/01/2025

Matchday OPEC FC VS ENJOY SOCCER

Tumedrooo mchezo wetu wa leo zidi ya mbweni fc
15/01/2025

Tumedrooo mchezo wetu wa leo zidi ya mbweni fc

Ushindi wa nne mfululizo OPEC FC 2 -MBWENI COMBINE 1  David⚽35'  Jonijo⚽88'  Messi ⚽70'
14/01/2025

Ushindi wa nne mfululizo
OPEC FC 2 -MBWENI COMBINE 1
David⚽35'
Jonijo⚽88'
Messi ⚽70'

07/01/2025

Our teacher show us the meaning of football
⚽Ball talent

05/01/2025

Siku ya jumatano tarehe 08/01/2025 tutakuwa na mechi ya kirafiki ugenini dhidi ya timu ya jeshi la wananchi(JWT) pale lugalo arena.unakaribishwa sana uje kuangalia pira gwaride vs pira udambwidambwi😀😀😀

Ongereni vijana mmepambana kutoka nyuma mpaka kuongoza na kupata ushindi wetu wa kwanza 2025     Final score OPEC FC 3 -...
03/01/2025

Ongereni vijana mmepambana kutoka nyuma mpaka kuongoza na kupata ushindi wetu wa kwanza 2025
Final score OPEC FC 3 -1 MBWENI INN FC BNV ARENA HAUTOKI
Lukaku⚽
Mwasika⚽
Mushi ⚽

Tunaimani na nyinyi leo game tafu
03/01/2025

Tunaimani na nyinyi leo game tafu

30/12/2024

Tutafungua mwaka kwa mechi kali dhidi ya mbweni inn siku ya ijumaa BNV ARENA patawaka moto

Address

0657894271
Dar Es Salaam
BOKOMAGEREZA

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when OPEC FOOT BALL CLUB posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category