Yanga On Fire

Yanga On Fire Ofiicial account ya YANGA ON FIRE. Karibuni sana mashabiki wenzetu wa YOUNG AFRICA SC.

02/09/2026

Here we goooooo πŸ’›πŸ’š

Wananchiiiiii new Jersey is out πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

πŸ’šπŸ’›πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

MATCH DAY πŸ’šπŸ’› πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ†šFOUNTAIN GATE FC 🏟SHEIKH AMRI ABEDπŸ“…31/08/2026⏰10:00 JIONI Wananchiii wote nchiii nzima tujitokeze kwa wi...
31/08/2026

MATCH DAY πŸ’šπŸ’›

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

πŸ†šFOUNTAIN GATE FC
🏟SHEIKH AMRI ABED
πŸ“…31/08/2026
⏰10:00 JIONI

Wananchiii wote nchiii nzima tujitokeze kwa wingi katika uwanja wa SHEIKH AMRI ABED ARUSHA tuta chukue alama 3 muhimu na magoli k**a mvua za elmino πŸ˜ƒ
Dhidi ya watoto wa shule Fountain Gate .

πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ”°πŸ”°πŸ†
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
πŸ†πŸ”°
πŸ”₯πŸ”₯πŸ’šπŸ’›

wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ—£οΈπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š

29/08/2026
MATCH DAY πŸ’šπŸ’›  πŸ†šPAMBA JIJI🏟KMC COMPLEX STADIUMπŸ“…28 MAY 2026⏰3:00 USIKUTawi la yanga on fire YANGA ON FIRE litakuepo tena k...
28/08/2026

MATCH DAY πŸ’šπŸ’›


πŸ†šPAMBA JIJI
🏟KMC COMPLEX STADIUM
πŸ“…28 MAY 2026
⏰3:00 USIKU

Tawi la yanga on fire YANGA ON FIRE litakuepo tena kwa Mara nyingine katika mchezo wetu wa Leo dhidi ya Pamba Jiji fc Pamba Jiji Football Club pale pale machinjioni KMC COMPLEX kwa ajili ya kuipa timu yetu Young Africans Sports Club nguvu na sapoti kubwa kuhakikisha tuna toka na ushindi wa alama tatu (3) na magoli ya kutosha.

Kwenye picha apo juu ni wachezaji wa 12 uwanjani kutoka yanga on fire YANGA ON FIRE wako tayari kuamsha vibe la kibingwa hatu poi hatu boi kwetu usiku k**a mchana πŸ˜ƒπŸ’›πŸ’š.

πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ”°πŸ”°πŸ†
πŸ†πŸ”°
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯.

24/08/2026

Address

Temeke
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yanga On Fire posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Yanga On Fire:

Shortcuts

Share

Category