Free Will Tv

Free Will Tv Karibu kwa habari za Michezo

🚨Klabu ya Yanga imefanikiwa kupata sare ya bao (1-1) kwenye mchezo wake wa raundi ya kwanza hatua ya awali Ligi ya Mabin...
05/09/2026

🚨Klabu ya Yanga imefanikiwa kupata sare ya bao (1-1) kwenye mchezo wake wa raundi ya kwanza hatua ya awali Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF Champions League 2026/27) mbele ya Gaborone United wakiwa ugenini nchini Botswana.

➡️Bao la kusawazisha limefungwa na Seleman Mwalimu dakika ya 90+6 na kuisaidia Yanga kupata sare hiyo.

➡️Mchezo wa marudiano unatarajiwa kuchezwa Septemba 12,2026 kwenye dimba la Azam Complex jijini Dar Es Salaam.

➡️Ili Yanga wafanikiwe kusonga mbele lazima wapate ushindi wa bao moja au zaidi.

NB: Je Yanga itafanikiwa kuiondosha Gaborone United?

🚨Mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika umemalizika visiwani Zanzibar, ambapo wenyeji KMKM wamekubali kichapo cha m...
05/09/2026

🚨Mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika umemalizika visiwani Zanzibar, ambapo wenyeji KMKM wamekubali kichapo cha mabao 3-0 dhidi ya Al Ahly Tripoli.

➡️Magoli ya Al Ahly Tripoli yakiwekwa kimiani na Fiston Mayele pamoja na Jean Girimugisha.

Ili uwe mkubwa,  lazima ucheza na wakubwa.Kipigo cha mabao 4-1 kutoka kwa Brazil kwenye Kombe la Mataifa ya chini ya mia...
05/09/2026

Ili uwe mkubwa, lazima ucheza na wakubwa.

Kipigo cha mabao 4-1 kutoka kwa Brazil kwenye Kombe la Mataifa ya chini ya miaka 20 kimetuacha na maswali mengi.

Pongezi kwa Brazil kwa ubora wao, lakini makosa ya Tanzania hayafichiki. Ulinzi ulilegalega, kiungo kilipotea, na mbele hatukuwa na muunganiko kabisa.

!Kazi ipo kwa benchi la ufundi chini ya Bakari Shime na Eddo

Wabinti zetu wakiwa na mpira hawajui nini cha kufanya. Wanakosa ule muunganiko wa mchezaji mmoja mmoja mwingine ili kuweza kukamilisha na kufanya kitu cha ziada.

Lakini tupongeze kwa kiwango tulichokionyesha. huenda walimu watakuwa wameona makosa na watafanyia kazi."

05/09/2026

Zawadi ya Harusi......

05/09/2026

Machin limemfkia hili.......

🚨Kocha Msaidizi wa Singida Black Stars, Amisi Tambwe, ameeleza kushangazwa kwake na uamuzi wa klabu ya Yanga Sc wa kumwa...
05/09/2026

🚨Kocha Msaidizi wa Singida Black Stars, Amisi Tambwe, ameeleza kushangazwa kwake na uamuzi wa klabu ya Yanga Sc wa kumwachia Sheikhan Khamis.

➡️​Akizungumzia uwezo na mchango wa mchezaji huyo, Tambwe alibainisha kuwa amekuwa akimfuatilia kwa karibu tangu awali na anaamini bado ana uwezo mkubwa zaidi wa kuonyesha katika michezo ijayo uwanjani.

🎙️"Sheikhan ni mchezaji mzuri sana, sijui ni kwanini Yanga wamemuacha. Nilikuwa namfuatilia sana, anafanya vizuri na atazidi kufanya vizuri zaidi," alisema Tambwe.

- amesema Mchezaji wa zamani wa klabu Yanga na kocha Msaidizi wa Singida Black Stars Hamis Tambwe.

🚨Baada ya Real Madrid kupoteza dhidi ya Real Betis, kocha Jose Mourinho alieleza kusikitishwa na matokeo hayo akisema ku...
05/09/2026

🚨Baada ya Real Madrid kupoteza dhidi ya Real Betis, kocha Jose Mourinho alieleza kusikitishwa na matokeo hayo akisema kuna

🎤"Wakati unashindwa kueleza kwa nini mmepoteza na kukosa maneno ya ziada. Alifafanua kuwa timu yake ilitawala na kutengeneza nafasi lakini walishindwa kuzitumia."

➡️Huku akilalamikia pia maamuzi ya mwamuzi na kadi za njano walizopewa yeye na mchezaji wake.

Ila Hersi Mhmhmhmh kumbe!!!!!!!
05/09/2026

Ila Hersi Mhmhmhmh kumbe!!!!!!!

🚨Katika mahojiano na Fatema Dewji, Clatous Chama amefichua kuwa alifanya maamuzi ya kusaini Singida Black Stars ili awe ...
05/09/2026

🚨Katika mahojiano na Fatema Dewji, Clatous Chama amefichua kuwa alifanya maamuzi ya kusaini Singida Black Stars ili awe karibu na Simba, akieleza kuwa k**a angesaini Zambia, isingekuwa rahisi kwake kurejea Simba.

📢“Nilifanya maamuzi ya kusaini Singida Black Stars ili niwe karibu na Simba. K**a ningesaini Zambia isingekuwa rahisi mimi kurudi hapa Simba.”

➡️Haya ni maneno ya Clatous Chama nyota wa klabu ya Simba.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Free Will Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Free Will Tv:

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility?

Share